๐— ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ

๐— ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐— ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ

1_20250118_203922_0000.png


Kama mpenzi wa masuala ya Anga basi mwaka huu 2025 kutakua na matukio mengi ya kushangaza ambayo utaweza kuyaona live kwa macho yako.

Haya ni matukio muhimu ambayo utayaweza kuyaona ukiwa ulimwenguni mwaka huu 2025 kupitia macho yako tu.

๐Ÿ’จ Januari 25 utaweza kuona sayari 6 live kupitia macho yako ambapo zikijipanga mstari mmoja mnyoofu.
Usisahau kuangalia angani โœŠ.

2_20250118_203922_0001.png


๐Ÿ’จ Machi 13 utaweza kuona kupatwa kwa mwezi ni onyesho ambalo utaliona live kupitia macho yako tukio hili mara ya mwisho kutokea ni November 2022. (Usitumie macho yako kutazama.

7_20250118_203922_0006.png


๐Ÿ’จ April 22: kutatokea Mvua ya vimondo angani utaweza kuona mwanga aina mbalimbali ya vimondo vya masika zaidi ya vimondo 20 utaweza kuviona tukio hili litaanza tarehe 15 mpaka 30 ndani ya lisaa limoja utaona mvua ya vimondo.

5_20250118_203922_0004.png


๐Ÿ’จ August 12: utaweza kuona sayari ya Jupiter na venus zitaungana na kuingiliana kuwa kitu kimoja hali itatokea mwaka huu agosti ambapo ikitokea mwaka huu itaweza kutokea tena mwaka 2041 hakikisha unangalia angani mida ya jioni.

6_20250118_203922_0005.png


๐Ÿ’จ Octoba 7: mwezi utabadilika na kuwa rangi ya kijani tukio hilo litaweza kuitwa Super Harvest Moon ๐ŸŒ™ we kuwa karibu na simu yako utaweza kuona.

3_20250118_203922_0002.png


๐Ÿ’จ Desemba 19: utaweza kuona comet 240/Neat kundi la nyota utaweza kuona kwa umbali wa kilomita 597,542,845.4 kutoka duniani utaweza kuona likiwa spidi zinakimbia angani.

4_20250118_203922_0003.png


Hakikisha ume follow @bongotech255 ili ujifunze zaidi.

8_20250118_203923_0007.png
 
Download stellarium app either kwa PC au simu simulate hizo tarehe Kuna baadhi ya matukio utayaona kabla tarehe kufika
 
Hapo kwenye Jupiter na Venus ndio sijaelewa kabisaa.........zitaungana vipi kuwa kitu kimoja wakati zile zikigongana ni mlipuko mkubwa sana kushinda nuklia??
Kasimuliwa na bibi yake
 
Back
Top Bottom