fungi6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 287
- 266
Je, wajua kuwa Japan wanalo onyesho la uume 😌 maonyesho haya yanajulikana sana kama "KANAMARA MATSURI" ikimaanisha onyesho la kuiba uume huwa yanaonyeshwa kila mwaka mwanzoni mwa mwezi wa nne kila Jumapili ya kwanza.
Pia Japan ina idadi ndogo ya watoto wazaliwao ikiwa inatokea kwa sababu watu kutokua na muda wa kuzaa na pia inatokea kwa sababu ya kutokua na hela maana huwa wanatenga kiasi cha fedha kwa ajili ya malezi kabla ya mtoto kuzaliwa.
Japan ni nchi ya kwanza duniani kuwa na binadamu wenye kuishi miaka mingi kiw binadamu mkubwa kwa karne hii yupo japan akiwa na umri wa miaka 117 akifwatiwa na mwingine mwenye miaka 116. Japan ni nchi yenye idadi ndogo sana ya uhalifu na ujambazi duniani ikiongoza kwa hili.
Pia ina jumla ya visiwa 6,852 Ambavyo vinatengeneza nchi moja iitwayo JAPAN
Nyumba za Wajapani wengi ni nyumba nzuri na ni safi za hali ya juu sana. Wengi uchukia uchafu ndani ya nyumba kiasi kwamba wajapan wengi sio wakaribishaji watu ndani ya nyumba zao kwa kuofia uchafu, na wengine kwa ajili ya tamaduni zao na Vitu vya kimila vilivyo ndani ya nyumba zao.
Usafi ni somo kama masomo mengine ya shuleni na ufanyiwa mpaka UE