mambo ya kutumia adress za vyoun kwa manunuz

mambo ya kutumia adress za vyoun kwa manunuz

ablaam

Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
8
Reaction score
1
niaje asee...hivi taratib za kununua vi2 ebay au amazon na kuweka adress za chuo ili bidhaa yako waifikishe hapo(e.g udsm,ardhi etc) ni salama?na unaweza ukaipata bidhaa yako kweli au ni uduwanz tuuu?maana icije ikawa nshaliwa ela aseee
 
Nimewahi mtumia rafiki yangu mzigo kwa address ya MUHAS na mzigo ulifika salama tu
 
Back
Top Bottom