Mara nyingi watu wanaoleta nondo tamu kama hizi huwa wana bidhaa zao, mwisho wa nondo unakuta bonge la promo, ila wewe kama huna naomba pale ilipo picha ya Bismin itolewe liwekwe lako
Siku zote huwa naamini Consultant wako asiwe Supplier wako. Maana siku zote ushauri wake utalenga ununue bidhaa zake