ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Muabudu Mungu ipasavyo, tafuta hela za kutosha, fanya mazoezi, jali familia yako, Mpende mkeo, kula bata, saidia wengine, jiepushe na ugonvi jielimishe kadiri uwezavyo jaribu kuitafuta talanta yako (kipaji) epuka jinai. Mengine mnaweza kuongezea.