ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Jali afya yako kwa kula chakula bora.Muabudu Mungu ipasavyo, tafuta hela za kutosha, fanya mazoezi, jali familia yako, Mpende mkeo, kula bata, saidia wengine, jiepushe na ugonvi jielimishe kadiri uwezavyo jaribu kuitafuta talanta yako (kipaji) epuka jinai. Mengine mnaweza kuongezea.
Kisasi ni sehemu ya haki.Muabudu Mungu ipasavyo, tafuta hela za kutosha, fanya mazoezi, jali familia yako, Mpende mkeo, kula bata, saidia wengine, jiepushe na ugonvi jielimishe kadiri uwezavyo jaribu kuitafuta talanta yako (kipaji) epuka jinai. Mengine mnaweza kuongezea.
Kwa hiyo ww hutafuti pesa!? Unapataje mahitaji yako!Hela hazitafutwi Ndugu. Anayetafutwa ni Mungu tu na ufalme wake.
Hela hazitafutwi Ndugu. Anayetafutwa ni Mungu tu na ufalme wake.