Mambo ya kuzingatia ukitaka kuanzisha biashara ya vipodozi.

Joined
Jul 14, 2016
Posts
14
Reaction score
6
Wapendwa salaam
Naomba msaada wa kujua mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kuanzisha biashara ya vipodozi hasa kujua kama kipodozi husika no feki au original na maduka yanayouza kwa jumla
 
Muhimu
1. Location -je utapata wateja wa kutosha

2. Ubunifu

3. Endana na wakati

4. Muuzaji uwe mjanja na uwe na ushawishi,
Yan kuna wateja wanakuja dukan lkn hawajui chaguo sahihi kulingana na zao au muonekano wao.

5. Kumbuka ukiwa muuzaji wa vipodozi unageuka daktari wa ngozi automatically hata km umeishia std 3, so jiongeze na ushawishi na uelewa.

6. Be smart, uvutie uendan na taswira ya urembo

N;B mtaji huamua mengi.

Kuhusu maduka nenda kariakoo opposite na filling station ya bigbon hapo ndipo wauzaji wa vipodozi vya jumla na rejareja.

Vipodozi vinalipa sana ila uwe muelewa.

Karibu
 
Asante sana kwa updates muhim hizi
 
Zungumzia pia kuhusu sheria ? Hapo umeandika kama vile atafanya biashara sehemu ambapo hakuna taratibu na sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…