Mambo ya kuzingatia unapoanzisha mahuasiano na ''Single Mother''

Upumbuvu uliopitiliza. Atakayeweza hii orodha, akipewa urais anaweza kukuza uchumi wa nchi zaidi ya uchumi wa USA ndani ya mwaka mmoja.
 
What if nikiamua awe part time
 
mtunze uyo single maza wachana na iz blah blah blah za ma single faza wa um ndani
 
Yani mtoto asiye wangu awe first priority.!
Punguzeni kula ugali na choloko.
 
Upumbuvu uliopitiliza. Atakayeweza hii orodha, akipewa urais anaweza kukuza uchumi wa nchi zaidi ya uchumi wa USA ndani ya mwaka mmoja.
Vipi wewe umeweza nini ili kuinua uchumi wako 😅
mtunze uyo single maza wachana na iz blah blah blah za ma single faza wa um ndani
Huwezi kuandika kwa ufasaha lakini unawaponda single mothers.
 
Vipi wewe umeweza nini ili kuinua uchumi wako 😅

Huwezi kuandika kwa ufasaha lakini unawaponda single mothers.
huwezi kusoma na kuelewa mkuu,,,niwaponde single maza namim mwenyewe single maza 😄soma vzur.
 
Anzisha familia yako na sio ku join familia ya mtu mwingne
 
Nimeipenda hii
 
Huyu hapa kaongea mwanaume
Wengine woote na kelele zao
Ni vivulana tu vilivyozawadiwa
Simatifone kwenye mahafali
Zao za kuhitimu kidato cha nne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kanuni ni zilezile inapohusu single maza

●Hatulei bao la mwanaume mwingine

●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake

●Single maza waolewe na baba za watoto wao

●Single maza ni wa kupiga na kusepa

Mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza

Learn or perish
 
View: https://twitter.com/Am_Blujay/status/1775394643456258231?t=d6PT6GthasUAf5YChET62A&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…