Mambo ya kuzingatia unapokula Pweza na Ngisi njiani

Nakushukuru sana kwa mawazo yako japo nimeshanga sana kuja kunianika jf nilifikiri tumeishia pale mkurungwa
 
Dah Leo hpa nakula Kwa mama ntilie Nimeona anaosha vyombo nikajua anoshea maziwa kumbe Ni maji....duh
 
Hakika.
 
Mkuu, kama ni wizara basi weye wafaa kusimamia biashara ndogondogo.

Hizi biashara zikipangwa uzuri wajasiriamali wadogo wanatoboa.

Ni mipango tu na usimamizi mzuri.

Pale Mbezi Kimara ni eneo zuri sana likipangwa kwa mpangilio wa kitaalam.
 
Mimi nikikuta muuza chakula ana toothpick mdomoni naghairi kula hata niwe na njaa kali kiasi gani
 
Unapata huduma kwa kadri unacholipia, ukitaka usafi inabidi uende huko kwenye migahawa na hoteli kubwa nunua sea food platter...hizi za mtaani huwezi kukwepa mapungufu madogo madogo kama hayo
Mkuu huko five star ndio watu wanakula vibovu kabisa
 
Angalizo zuri. Watu wengi wanaambukizana magonjwa ikiwemo ugonjwa wa homa ya ini kwa njia kama hizi. Tuchukue tahadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…