MAMBO YA KUZINGATIA UNAPONUNUA ENEO LA URITHI/MALI YOYOTE YA URITHI

Joined
Sep 11, 2024
Posts
33
Reaction score
46
Habari za wakati huu...
Natumai wote ni wazima wa afya..
Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa...

Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi)
AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA VIWANJA NA MAENEO MAKUBWA..
BIASHARA HII NI YAUHAKIKA NA INALIPA SANA..
KAMA UZI ULIKUPITA BASI PITIA KWENYE AKAUNTI YANGU HII KUPATA KUIJUA ZAIDI BIASHARA HII...

TWENDE SAWA...

Leo nahitaji kukumbushana kuhusu kununua eneo ambalo mmiliki wake amefariki,
Je ni kipi na kipi cha kuzingatia wakati wa manunuzi hayo..?

Mara nyingi baada ya mmiliki wa mali kufa huwa kunamchakato wa kupata msimamizi wa mirathi wa mali zilizoachwa na marehemu...

Hapa ndio tatizo maranyingi huanzi..
Warithi wa mali kisheria huchagua msimamizi mmoja wa mali za marehemu..
Kazi ya msimamizi ni kugawanya mali za marehemu kwa warithi halali wa mali za marehemu...
Anaweza kuwa mmoja wa familia mtoto/mke/ndugu nk lakini pia anaweza kuwa rafiki au mwanasheria au yeyote yule ambae atachaguliwa na warithi halali wa mali za marehemu...

KOSA LINAANZIAGA HAPA...
Unaenda kununua mali ya marehemu unauziwa na masimamizi wa mirathi ukiamini ndio mmiliki wa mali zile kwasababu anautambulisho wa mahakama kama msimamizi wa mirathi..
Hili ni kosa kubwa sana..
Endapo atakuwa hajakubaliana na wana familia kuuza mali hiyo labda shamba/kiwanja au nyumba baada ya muda wamiliki halali wa mali za marehemu wakitambua wakaweka pingamizi utapaswa umtafute msimamizi wa mirathi akurudishie pesa zako...
Ndio akurudishie pesa zako kwasababu yeye sio mmiliki yeye ni msimamizi hata kama ndio mtoto mkubwa wa marehemu...

Kwahivyo wakati wa kununua unatakiwa kuhakikisha hati ya mahakama ya usimamizi wa mirathi inakuwa na majina yoye ya wamiliki halali wa mali za marehemu pamoja na mali zote zilizoachwa na marehemu...

Hivyo hakikisha kama waliotajwa kama warithi wa mali zote za marehemu unapata saini zao kwenye hati ya mauziano...
Kama wapo 10 hakikisha unapata sine za watu wote 10 sio uambiwe wapo 9 mmoja yupo mbali hizo ni janja janja..
Maana huyo mmoja siku akianzisha kesi mahakamani hapo huna mali tena kama utapata haki yako basi utasumbuka sanaa...

KWA VIWANJA VIZURI GOBA,MADALE,SALASALA,MBEZI BEACH,MAKONGO HAKIKISHA UNAWASILIANA NASI
☎️ +255 699 255 530
KARIBU SANA
 
Asante kwa kujaribu kujaribu kuwapa watu tahadhari lakini maoni yako kwenye sheria hayapo sahihi. Msimamizi wa mirathi baada ya kuteuliwa na mahakama anakuwa na mamlaka kana kwamba yeye ni yule marehemu aliyekuwa mmiliki halali wa hizo mali.

Halazimiki kisheria kuomba ridhaa wala ushauri wa namna ya kudili na mali za marehemu ikiwemo kuuza. Kwa hiyo mnunuzi wa mali ya marehemu hana wajibu wa kudili na warithi wala kutafuta ridhaa zao.

Unaweza kusoma kesi hii ya Mahakama ya Rufaa upate mwanga;

Joseph Shumbusho v. Mary Grace Tigerwa, James Rugaimukamu and David Rugamukamu, Civil Appeal No. 183 of 2016
 
Kuna familia moja nimepata malalamiko yanayofanana na haya.

Hiyo familia imeondokewa na mzazi mmoja wa kiume ambaye alikuwa ni baba mzazi wa familia hiyo amebaki mama mzazi,marehemu baba yao mzazi aliacha shamba ambalo alikuwa analima enzi ya uhai wake,wakati huohuo watoto wa marehemu nao walikuwa na mashamba ambayo walikuwa wanayamiliki jirani na shamba ambalo lilikuwa la baba yao mzazi.

Baada ya kifo cha baba yao mzazi wanafamilia wote kwa pamoja walikubaliana kumilikisha shamba la baba mzazi wao kwa kutumia gharama zilizoachwa na baba yao mzazi lakini kwa kuwa shamba hilo lilikuwa linapakana na mashamba waliojinunulia wenyewe na ndiyo walikuwa wanayatumia kwenye kilimo hata kabla ya baba yao mzazi kufariki,walikubaliana kuwa hata mashamba yao yafanywe kuwa sehemu ya shamba la baba yao mzazi na kupewa hakimiliki kama shamba moja linalomilikiwa na mama yao mzazi kwa niaba ya wanafamilia wote.

Baada ya miaka dhaa kupita wanafamilia wanafamilia wakajakugundua kuwa kumbe kati yao kuna mwanafamilia mmoja aliwazunguka wenzake na kuuza kipande cha shamba katikati ya shamba hilo na hawakuweza kugundua mapema kwa kuwa wao wanaishi mbali na eneo hilo.

Baada ya kumuhoji mwanafamilia aliyeuza ni kwa nini aliuza kipande cha shamba katikati ya shamba la familia wakati anajua kuwa shamba hilo ni Mali ya familia ambalo linamilikiwa na mama yao mzazi kwa niaba ya wanafamilia wote.

Alijibu kuwa alichouza ni kipande chake ambacho alinunua kwa gharama zake mwenyewe na alikuwa analima tangu enzi za uhai wa baba yao mzazi yupo hai,lakini pamoja na kuuza kipande ambacho ana dai kuwa ni mali yake pia amekata kipande ambacho kilikuwa ni cha baba yao mzazi na kuuza pamoja na kipande chake na ndio vipande hivi anavyo dai kuwa ni eneo lake ndivyo walivyokubaliana kama wanafamilia wavifanye kuwa sehemu ya shamba la marehemu baba yao mzazi na kupewa hakimiliki moja yenye jina la mama yao mzazi kwa niaba ya wanafamilia wote.

Je kwa hali kama hiyo huyu aliyekatiwa kipande cha shamba na kuuziwa katikati ya shamba lenye hakimiliki ya jina la mtu mwingine ana haki ya kuwa mmiliki halali wa kipande hicho kwa kuwa aliuziwa na mwanafamilia aliyemuuzia pasipokupata kibali cha wanafamilia wenzake?.

Kwa kuwa hakimiliki inatambua kuwa hilo ni shamba moja lenye ekari 30 na linamilikiwa na ndugu J4 wakati huohuo katikati ya shamba hilo kuna mtu kauziwa ekari 3 na wote wanaendelea kulima,Je ni nani mwenye uhalali na shamba hilo?au pengine wote wanauhalali na shamba hilo mwenye hakimiliki ana haki na shamba hilo na asiye na hakimiliki naye ana uhalali na ekari 3 ambazo aliuziwa katikati ya shamba lenye hakimiliki ya jina la mtu mwingine ambaye siye muuzaji na hakimiliki iko mikononi mwawanafamilia?.
 
Asante kwa kujaribu kujaribu kuwapa watu tahadhari lakini maoni yako kwenye sheria hayapo sahihi. Msimamizi wa mirathi baada ya kuteuliwa na mahakama anakuwa na mamlaka kana kwamba yeye ni yule marehemu aliyekuwa mmiliki halali wa hizo mali.

Halazimiki kisheria kuomba ridhaa wala ushauri wa namna ya kudili na mali za marehemu ikiwemo kuuza. Kwa hiyo mnunuzi wa mali ya marehemu hana wajibu wa kudili na warithi wala kutafuta ridhaa zao.

Unaweza kusoma kesi hii ya Mahakama ya Rufaa upate mwanga;

Joseph Shumbusho v. Mary Grace Tigerwa, James Rugaimukamu and David Rugamukamu, Civil Appeal No. 183 of 2016
Haya mwanasheria ninaomba msaada wa ufanunuzi wako wa kisheria ili niweze kutoa ushauri katika changamoto niliokutana nayo.comment yangu iko hapo chini kwa mtoa ushauri.
 
Asante kwa kujaribu kujaribu kuwapa watu tahadhari lakini maoni yako kwenye sheria hayapo sahihi. Msimamizi wa mirathi baada ya kuteuliwa na mahakama anakuwa na mamlaka kana kwamba yeye ni yule marehemu aliyekuwa mmiliki halali wa hizo mali.

Halazimiki kisheria kuomba ridhaa wala ushauri wa namna ya kudili na mali za marehemu ikiwemo kuuza. Kwa hiyo mnunuzi wa mali ya marehemu hana wajibu wa kudili na warithi wala kutafuta ridhaa zao.

Unaweza kusoma kesi hii ya Mahakama ya Rufaa upate mwanga;

Joseph Shumbusho v. Mary Grace Tigerwa, James Rugaimukamu and David Rugamukamu, Civil Appeal No. 183 of 2016
Msimamizi wa mirathi Hana mamlaka hiyo
 
Asante sana mkuu
 
Sheria ya nchi gani Boss?
Sheria ya Sudani hiyo?
 
Back
Top Bottom