Mambo ya kuzingatia Unaponunua gesi ya kupikia

Mambo ya kuzingatia Unaponunua gesi ya kupikia

Status
Not open for further replies.

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
20210408_120017_0000.png

Unaponunua gesi ya kupikia, hakikisha imepimwa kwenye mzani na mtungi umefungwa lakiri (seal)

Kumbuka: Anayeuza gesi bila mzani wa kupimia anafanya kosa na faini yake ni Tsh 3,000,000/-
 
Upvote 3
View attachment 1746487

Unaponunua gesi ya kupikia, hakikisha imepimwa kwenye mzani na mtungi umefungwa lakiri (seal)

Kumbuka: Anayeuza gesi bila mzani wa kupimia anafanya kosa na faini yake ni Tsh 3,000,000/-
Tujuze ili tufahamu uzito wa mtungi bila gesi tutaufahamu vipi uli kujumlisha na kiwango sahihi cha gesi kilichopo kwenye mtungi?
 
View attachment 1746487

Unaponunua gesi ya kupikia, hakikisha imepimwa kwenye mzani na mtungi umefungwa lakiri (seal)

Kumbuka: Anayeuza gesi bila mzani wa kupimia anafanya kosa na faini yake ni Tsh 3,000,000/-
Gas zinauzwa mitaani kama ice cream za Bakhresa na hakuna cha mizani na hakuna anaepigwa faini tuacheni jamani
 
Mizan hazipo na hao wa gesi wanasambaza na wanaona hakuna mizani
Na wabongo kwa fursa lazima tunapigwa sana
 
Sasa hata kama mizani ipo na sijui inahitajika kilo ngapi si yale yale tu?.
 
Butcher kwenyewe mizani zipo na bado tunapigwa .
 
Kuna siku nilinunua gesi nikaipima duuh majanga aisee 12.5 Kgs duuh nikakuta ngoma Inachezea kwenye 9.5 Kgs [emoji16][emoji16][emoji16] Kiukweli Mizani ni muhimu sana
 
Kuna siku nilinunua gesi nikaipima duuh majanga aisee 12.5 Kgs duuh nikakuta ngoma Inachezea kwenye 9.5 Kgs [emoji16][emoji16][emoji16] Kiukweli Mizani ni muhimu sana
Mzani upi ulitumia
 
Mimi naendaga zile Bucha zinazoandikwa "Halal Bucha" kuwepa kupigwa...huwa naamini kule walau.

Wale ni Professional Mkuu. Yaani Bucha unachagua upate sehemu gani ya Mnyama Ngo’mbe [emoji16]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom