Mambo ya kuzingatia unaponunua tairi za gari

NAOMBA USHAURI; NINA GX110 IMEKUJA NA RIM 16" NA MIMI NAKATA KUWEKA SPORT RIM 17" JE, ZINAWEZA KUNIONGEZEA FUEL CONSUMPTION, IMBALANCE, NK?
 
100% satisfied with the explaination........but just a reminder its fed[pt of feed] not feeded
MI KIINGEREZA KILISHANISHINDAGA ASIAEE,
DARASANI NLIAMBIWA pt ya "SIT NI SAT" KWENYE MOVIE NAONA WANASEMA "SITED"
 
GARI YANGU AINA YA MARK II GX110 "BEAM 2000" INA MISS YA HATARI, FUNDI ENGINE KASHINDWA KAJA FUNDI WAYA NAE KACHEMKA, NOZZLE ZIPO POA, PUMP YA MAFUTA IPO POA, HAITOI MOSHI, PLUGS SINA HAKIKA NAZO SAAAANA, HAIWAKI CHECK ENGINE, NA ILIANZA GHAFLA TATIZO LINAWEZA KUWA NINI? NISAIDIENI WAJUZI Chacha Kisiri
 
Asante kwa elimu hapa nimepata nondo zaid ya zile ambao ningepata NIT na VETA.
Ubarikiwe mkuu mleta Uzi na wale wachangiaji wake ambao wamesaidia kujaza mada husika mpaka ikashiba.
 
Thanx
 
Kama tairi za mbele ni size moja na tairi za nyuma ni size moja hapo hakuna tatizo hata kama tairi za mbele zina tofautiana na tairi nyuma.

Muhimu tairi za mbele ziwe size moja na pia tairi za nyuma ziwe saizi moja.
Basi matumizi ya vile vi spare tyres ni hatari sana vile
 
bei yake iko vipi mkuu?
 
Kwa kuongezea mkuu kama watu wengine hawaja comment chini ukitaka kujua umri wa tyre kuna namba nne zipo kwenye tyre yani mfano zikiandikwa 2214 ina maana tyre hilo limetengenezwa week ya ishirini na mbili mwaka 2014

Kwa kawaida tyre linatakiwa likae miaka 4 hata kama halikutumika
 
MMH ZA KIBONGOOOO?? SIO HATA WAZUNGU WANASEMAGA "GET SITED au BE SITED"
mkuu hayo maneno yako sahihi, inategemea umetumia wpi katika sentensi.
kuna maneno ukiulizwa maana yake unashindwa kuielewa isipokuwa tu pale utakapo soma sentence mabayo hilo neno limetumika.
 
Aisee imekaa poa sana hili somo lako..thanks in loads
 
Mileage sahihi za kufanya service kisayansi ni Km ngp especially ukitumia oil quality kama BP Oil? Coz inadaiwa 3,000km ni myth but haina scientific grounds....
Oil zipo mpaka kilomita 15,000 especially kwa lorry, sasa hizi gari ndogo kilomita 3,000 ndio mazoea ya wengi japo zipo za mpaka kilomita 7,000 na kuedelea..oil pekee haitoshi kutumia Filter nzuri na yenye kiwango ni muhimu sana...oil pia inategemea na gari lenyewe inatumika wapi kwa mfano mazingira ya joto,baridi, masafa marefu..pia mwaka wa gari iliyotengenezwa kwa mfank magari ya miaka kumi na tano nyuma kutengenezwa hutumia SAE 40...so service ya gari na kilomita za kumwaga oil zitategemea matumizi ya gari,eneo inalotumika,oil unayotumia,filter unayotumia na pia uzima wa engine na kadhalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…