Mambo ya kuzingatia unapotaka kuwa nabii wa kizazi kipya

Mambo ya kuzingatia unapotaka kuwa nabii wa kizazi kipya

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Ninaposema nabii wa kizazi kipya namaanisha nabii ambaye amekuja kwa lengo lake mwenyewe, yaani hajatumwa.

Sasa nini unatakiwa uwe navyo ili usichokwe haraka?
1. Sauti ngumu.

2. Kuwa mbunifu wa kutafuta majina mazuri ya ibada. Kila wiki unaleta jina jipya, mara ibada ya ukombozi, ibada ya kuvuka, ibada ya kukomesha umaskini n.k ingawa kila siku matatizo ya waumini ni yaleyale.

3. Kuwa mbunifu kwenye vifaa vya kazi au vya Kiroho. Mara sabuni ya upako, kipande cha mti aliosulubiwa Yesu mara, mchaga wa Israel n.k

4. Pangila nguo rasmi. Yaani uwe na style yako ya mavazi. Iwe ndo identity yako.
 
Chako ni chako...vuka na chako.
Bora niambiwe naabudu sanamu kuliko hawa manabii wa leo.
Proud Catholic.
 
Back
Top Bottom