JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Safisha mikono yako kabla ya kuvaa barakoa, vilevile kabla na baada ya kuivua na baada ya kuigusa wakati wowote
Ukivaa barakoa hakikisha inafunika pua yako, mdomo na kidevu
Unapovua barakoa, ihifadhi kwenye mfuko safi wa plastiki na kila siku uioshe ikiwa ni barakoa ya kitambaa na kama ni barakoa ya kitabibu tupa kwenye pipa la takataka mara baada ya kuitumia
Upvote
0