Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

hayo ma-land cruiser na ma-land rover yaliharibika sana huko njiani kabla hata ya mvua kunyesha - cheki picha:​

 
Mbona mafuso hayajaanza juma hili,yalikuwepo toka wiki iliyopita-cheki picha:

 
nauliza tu msinipige mawe. Hivi, baadae ikija gundulika kuwa watu hawaponi itakuwaje?????????????????. Nauliza tu.
 
nauliza tu msinipige mawe. Hivi, baadae ikija gundulika kuwa watu hawaponi itakuwaje?????????????????. Nauliza tu.

itakuwa kama jusi, joto ya jiwe tajua. Mbaya nasikia huo mti ni sumu, matokeo ya baadaye, Mungu atusaidie maana tunachanganyikiwa, hatuelewi.
 
ASANTENI WATOA HOJA AMBAO WENGI WAO ZAIDI YA 80% YA MAISHA YAO NI MIJINI.......KWENU USAFIRI WA MALORI NI MATESO WAKATI SISI WATANZANIA HALISI (zaidi ya 80% ya watanzania wanategemea kilimo/huishi mashambani) HUO NDO USAFIRI WA KUTEGEMEA....HIZO SUMATRA,TANESCO,TRA,UHAMIAJI,EWURA,PPF TOWERS,AIRPORTS,BUSINESS CLASS,UNIVERSITIES,CHADEMA HQ,NCCR HQ,DART,FLYOVERS,PRECISION,EMIRATES NI ZA HUKO HUKO MIJINI NDO MAANA MNATAKA KUJA KWETU VIJIJINI MAANZA KULIA LIA.......!
TUBORESHEENI MAISHA NA HUKU KWETU SIO KUJIANGALIA HUKO KWENU TU...!
 
babu msanii

watanzania vichwa rojo, yatapita tutakuja kukaa tuchekane hapa
 
Njoo huku
 
We jamaa mungu anakuona ...
 
Tupe mrejesho mkuu huyo ndugu yako anaendeleje!??
 
Tupe mrejesho mkuu huyo ndugu yako anaendeleje!??
 
hizi comment "!!!!, mlikuwa hamjui kama mzee mwakipesile ana wapiga ".... Ogopa sana usalama sio watu wazuri kabisa . wanaweza kuwaaminisha watu kuwa jiwe ni mkate na watu hao wakaamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…