Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
mi kidhungu kinanipa shida,naona kuna tarehe mbili zinanitatiza.
Mmmmmmmmmmmmh! KWELI MTU KITU UKIPANIA SANAAAAAAAAAAAA UNAHARIBU! Huo mlembaaaaaaa! Gauni kidogo ni tolerable ila huo mlemba umemuongezea kama miaka 20 usoni.
demu yuko vizuri
kuna mwaka 2014&2015.Nisaidie na hapo.Tangazo la Event ilikuwa tarehe 22 na publish ya yaliojiri imetoka tarehe 23.
Una lingine?
kuna mwaka 2014&2015.Nisaidie na hapo.
Hahahaaa. ..Uwiiiiii
Kabibi aka bado kapo tu hahaha kamekomaaa had I kipyegaaaa piii
Mpwa Siku hizi wewe ni Attorney??
Mpwa asante kwa kunikumbusha spelling,
Yes mimi ni Attorney wa Linda hasa hapa JF.
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
Source: Miafrika ndivyo tulivyo.