Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
~ Kuna mtu ametuma nauli na mhusika amekaribia kufika [emoji16].
~ Halafu kuna wale tangu walipotuma nauli simu hazipokelewi kabisa.
~ Kisha kuna wale wanaosafiri kwa kutumia nauli zao na hawatarudishiwa.
~ Kuna mwingine yupo kituoni muda huu na mwenyeji wake hapatikani, hana pa kufikia wala hana hela.[emoji16][emoji16]
~ Kuna aliyekula chocho baada ya kumuona anayempokea. [emoji16][emoji16][emoji2210][emoji2210]
~ Mwingine anatamani angetumiwa nauli, wa kumtumia ndiyo hakuna. [emoji32][emoji32]
Kila mtu anajua muda huu anapambana na hali gani![emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app