Mambo ya long weekend

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
~ Kuna mtu ametuma nauli na mhusika amekaribia kufika [emoji16].

~ Halafu kuna wale tangu walipotuma nauli simu hazipokelewi kabisa.

~ Kisha kuna wale wanaosafiri kwa kutumia nauli zao na hawatarudishiwa.

~ Kuna mwingine yupo kituoni muda huu na mwenyeji wake hapatikani, hana pa kufikia wala hana hela.[emoji16][emoji16]

~ Kuna aliyekula chocho baada ya kumuona anayempokea. [emoji16][emoji16][emoji2210][emoji2210]

~ Mwingine anatamani angetumiwa nauli, wa kumtumia ndiyo hakuna. [emoji32][emoji32]

Kila mtu anajua muda huu anapambana na hali gani![emoji16][emoji16]



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sie wenye wake na watoto tupo kusikiliza mikelele ya Cocomelon kwa siku 3 mfululizo.

Toka saa kumi nasikia za wheel on the bus goes round and round mpaka najikuta na mimi naiimba baada ya kunikera. Na huu ndio mwendo wa siku 3 zijazo.
 
Wewe uo kundi gani mkuu?
 
hahahahaha,dah
 
Tuliojaaliwa hamu kesho tutaamka saa nane huku miguu ikitetemeka, migongo na viuno inauma break ya kwanza kwenye friji kutafuta vibaki baki kupoza njaa.....halafu kuna limtu linasema hakuna kuoa lione.

mzabzab nakutakia weekend njema
🤣🤣🤣
 
Mimi nahitaji kampani ya leo na kesho.
Ni mwanaume nipo Ubungo
Karibu PM.
 
Mimi nimerudi kazini nusu saa iliyopita, mwili unauma uchovu hapa nikulala tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…