Kijana kama ulifeli form 4 na ukajihisi kuwa ndo mwisho wa malengo yako em usikate tamaa mshirikishe Mungu pia wajibika kwa utendaji wa shughul ndogondogo usidharau kazi kheri wewe uliyeingiza 100 kwa siku kuliko mkaa bure.
Nenda na marengo ukipatacho jitahidi kama kwa siku unapata 100 tunza 50 ipo siku itakusaidia kufikisha marengo yako.
Kijana usikae na kubweteka kwa kisingizio maisha nimagum, maisha sio magum ila wewe ndo unayafanya kuwa magumu.
USISAHAU KUMSHIRIKISHA MUNGU KWA KILA JAMBO NI HAYO TU.