Mambo ya Mo

mbeyaboyfrancy

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
248
Reaction score
91
Mshambuliaji matata kutoka burundi laudit mavugo ametua kujiunga na simba
 
Nakumbuka Danny SSERENKUMA alivyotua kwa mbwembwe nyingi hadi akapokewa na lundo la Mashabiki wa Simba ila wakiondokaga hata awasindikizwi.
 
Hutu Mavugo huwa anakula cha wapi ? Arusha au Bujumbura?
 
Kavaa hereni? [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Hahahaaaa
Hakuna kitu kibaya kama kuwa, spare tyre (yaani gurudumu la akiba)
Ndicho alichofanya mavugo baada ya kufeli ufaransa kaja uswazi

Wenyew tunasherehekea wicked people with wicked minds
With Pathetic Hopes
 
Hahahaaaa
Hakuna kitu kibaya kama kuwa, spare tyre (yaani gurudumu la akiba)
Ndicho alichofanya mavugo baada ya kufeli ufaransa kaja uswazi

Wenyew tunasherehekea wicked people with wicked minds
With Pathetic Hopes
Mkuu unawafahamu;
1. Haterm Ben Arfa?
Huyu jamaa "alfeli" Newcastle.. wakamtimua.. Akarudi Ufaransa, kapata timu.. Msimu huo huo.. Kapiga mpira Mwingi sana na kawa one of the Best Player msimu uliopita.. Matokeo yake msimu huu kasajiliwa PSG.

2. Vincent Bossou?
Huyu jamaa "alifeli" katika moja ya ligi mbovu na za ovyo kabisa duniani nchini Korea Kusini.. Akatupiwa virago akaja Tanzania.. Na sasa ni beki tegemeo pale Jangwani.

Mifano ni mingi sana.. Ila nilichotaka kukuonesha hapa ni kua, kushindwa sehemu moja.. Haimaanishi inakuzuia kufanikiwa sehemu nyingine.

Nachoomini ile tabia ya Mavugo ya kufunga magoli 29 katika mechi 28 ipo pale pale [tabia hii wanayo watu wawili tu Dunia hii, Messi na CR7.. Siku hizi Suarez nae anaiga.].. Ndo maana alienda kufanya majaribio Ufaransa.
 
Hahahaaaa
Hakuna kitu kibaya kama kuwa, spare tyre (yaani gurudumu la akiba)
Ndicho alichofanya mavugo baada ya kufeli ufaransa kaja uswazi

Wenyew tunasherehekea wicked people with wicked minds
With Pathetic Hopes

Acha kukurupuka watz bana sijui tunafikiria kwa kutumia matako huyo bossou wenu na yeye si alifeli huko kwa kina chun chin
 
hakika nimeangalia video zake..... jamaa anajua kinoma!

hebu fikiria kidogo hiyo forward line ya mnyama itakuwa vipi msimu huu?
 


Umejibu kwa weledi mkubwa. Hivi mchezaji mwenye akili timamu na mwenye uono wa mbali anaweza kuichagua timu yoyote ya Afrika Mashariki badala ya timu ya daraja la pili Ufaransa? Mavugo inaonekana kabisa anajitambua
 
Hii ndio faida ya kufuga ng'ombe...ukisikia Moo moo moooo! Ujue kuna uhakika wa kunywa maziwa
Tusubiri msimu uanze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…