Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Mpango kando aka nyumba ndogo mambo ya kwa MwaiKuna site hii kwa wale wenye upweke au wanaohitaji "faraja" ya nyumba ndogo kwa Kenya gonga hapo chini
Home - Mpango wa Kando! nasikia huduma hii ipo Bongo pia wenye site please?
Welcome, this is a professional confidential dating site for
wenye wameoa or kuolewa and single men/women wanaotaka kuwa Mpango wa Kando.
It is simple and safe. All you need to do is fill a simple form on this website. The form asks for your details and details of the type
of partners you need.
Hii hudama inahitajika sana na iko kimya kimya bongo kwa hiyo ubunifu wa hii huduma ni deal hasa
Inayo sifiwaga π umeiona avatar ya SaraM lkn haijazidi ya kwako π₯π₯π₯π₯βΊοΈraraa reree jf ya zamani hiiππ
Mizigamuo ni timeless πSijui tofauti yake na sahiz ni nn π
Labda features najiuliza Hawa sio ndio hawahawa wamebadili Id au ndo wajukuu zao π
Vyovyote vile jf ya zamani ni bora aisee, sijui kwa nini lakini, labda kwa vile janani bora kuliko leo!Sijui tofauti yake na sahiz ni nn π
Labda features najiuliza Hawa sio ndio hawahawa wamebadili Id au ndo wajukuu zao π
Vijana wako moto π€£Vyovyote vile jf ya zamani ni bora aisee, sijui kwa nini lakini, labda kwa vile janani bora kuliko leo!
Ila jf ya sasa chenga nyingi!!