Mateso,kuumia, matatizo,shida ni level za chini za ufahamu ukishafika level za kati za ufahamu hakuna kitu kinaitwa sijui mateso matatizo kuumia kwa sababu unakuwa kwenye level za kuachilia.
Kuteseka kuumia ni sawa na kukumbatia mkaa wa moto ukitaka usiungue unauchilia unautupa mikono inakuwa huru ndio kanuni ya kuachilia maumivu au matatizo.