Mambo ya Muhimu kuyafahamu katika safari yako ya Maisha.

Mambo ya Muhimu kuyafahamu katika safari yako ya Maisha.

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
4,920
Reaction score
3,240
Habari ndugu zangu. Hii ni elimu ambayo ningependa kushare kwa watu tofauti na kwa wengine ambao wanaifahamu. Ni elimu ambayo huwezi kuipata mashuleni bali kupitia ujuzi wa walioweza kufanya uchunguzi binafsi.

Kwa Bahati mbaya siwezi kutumia JamiiForums kuelezea vyote kwani nitatakiwa kupunguza words kwa kuwa ni maelezo marefu. Ningeomba fungua hii page usome na ujifunze. Unaweza kucoment kwenye hii thread nitajibu maswali yako.

Asante.
spirit-mind.jpg

Jitambue Sasa: Mambo Ya Muhimu Kuyafahamu Katika Safari Yako Ya Maisha.

Je ni kweli maisha hujirudia?
deja vu?
 
As long as kuna kifo,hamna jambo muhimu duniani zaidi ya kifo.

Kifo is nothing. Kila mtu anatambua kuwa kifo ni mwisho wa mwili (Roho kuacha mwili), lakini existence ya roho yako bado itakwepo. Ulikwepo kabwa ya kifo kuwepo ulimwenguni na utakwepo hata baada a kifo. Know Thyself.
 
Kwenye maisha sio lazma ujue kila kitu

Bali ni vyema kufahamu vitu vya muhimu. Hivyo tunapaswa kufahamu vitu vya muhimu ambavyo ndio msingi mkuu wa ulimwengu. Ni sawa na umuhimu wa kujua Gravity ipo, itakusaidia katika kuishi mfano kwa kujua hatari za kuanguka chini kutokana na gravity, lakini kama tukisema haina haja ya kujifunza, mpaka mwisho wa maisha yetu hapa duniani tutakuwa hatujatumia maarifa na nafasi tuliyonayo. Tunapaswa kutoacha kujifunza na kufumbua macho yetu kwa undani.

KNOWLEDGE IS POWER.
 
Je ni kweli maisha hujirudia?
deja vu?

Kwa watu wanaoamini Reincarnation De Ja Vu ni kitu ambacho ni ushahidi wa kwanza wanaotumia kuwa, safari ya maisha lengo lake ni kujitambua na mtu akijitambua na kuishi katika haki (Karma - katika imani za mashariki au M'aat kwa imani za kiafrika) roho yake inakuwa haishikiliwi na attachments za kidunia, anapokufa (kifo cha mwili) roho yake inarudi to THE SOURCE na inakuwa kitu kimoja na The Creator. Kama haujajitambua, haujafunguka jicho la tatu (Enlightenment/Nirvana/Awakening/Kuamka/Illumination/Revelation/Christ Within) basi roho yako itaendelea kuwepo katika ulimwengu huu wa chini, kama Karma yako haikuwa mbaya sana itazunguka ulimwenguni na kupata Mwili mwingine na kuanza safari upya ya maisha kwa lengo la ijiruhusu kujirekebisha. Unapopewa mwili wa kutunza roho yako, roho yako tayari inakuwa inajua safari nzima ya dunia. DNA yako bado inakuwa na memory ya past lives lakini kutokana na Amnesia unayopata wakati wa kuja ulimwenguni katika hali ya kifizikia (mwili) unasahau asili yako, bali roho yako bado inaweza ikakumbuka ila inazuiliwa na MIND (Memories za sasa, illusion, Jamii inavyokufundisha, Unachoamini n.k), DeJa Vu ni kitendo ambacho kinakuwa kimejirudia katika ulimwengu wa roho (soul), na soul yako imeweza kukumbuka moment uliyopo lakini akili yako ya sasa haiwezi kukumbuka. Mara nyingi DeJA vu inaashiria upo katika njia iliyokusudiwa na roho yako na roho yako imeweza kushinda akili kwa kukumbuka marudio ya matukio yako katika maisha.
 
Bali ni vyema kufahamu vitu vya muhimu. Hivyo tunapaswa kufahamu vitu vya muhimu ambavyo ndio msingi mkuu wa ulimwengu. Ni sawa na umuhimu wa kujua Gravity ipo, itakusaidia katika kuishi mfano kwa kujua hatari za kuanguka chini kutokana na gravity, lakini kama tukisema haina haja ya kujifunza, mpaka mwisho wa maisha yetu hapa duniani tutakuwa hatujatumia maarifa na nafasi tuliyonayo. Tunapaswa kutoacha kujifunza na kufumbua macho yetu kwa undani.

KNOWLEDGE IS POWER.

na ndo mana tuliumbwa na ufahamu
 
Kifo is nothing. Kila mtu anatambua kuwa kifo ni mwisho wa mwili (Roho kuacha mwili), lakini existence ya roho yako bado itakwepo. Ulikwepo kabwa ya kifo kuwepo ulimwenguni na utakwepo hata baada a kifo. Know Thyself.

huu ni ukweli unaojulikana na watu wachache hapa duniani
 
Apollo unamaanisha sisi tuliopo duniani.... Roho zetu ziliishi miaka iliyopita.? Na hakuna roho mpya inayoundwa tena..?
 
Last edited by a moderator:
kwa watu wanaoamini reincarnation de ja vu ni kitu ambacho ni ushahidi wa kwanza wanaotumia kuwa, safari ya maisha lengo lake ni kujitambua na mtu akijitambua na kuishi katika haki (karma - katika imani za mashariki au m'aat kwa imani za kiafrika) roho yake inakuwa haishikiliwi na attachments za kidunia, anapokufa (kifo cha mwili) roho yake inarudi to the source na inakuwa kitu kimoja na the creator. Kama haujajitambua, haujafunguka jicho la tatu (enlightenment/nirvana/awakening/kuamka/illumination/revelation/christ within) basi roho yako itaendelea kuwepo katika ulimwengu huu wa chini, kama karma yako haikuwa mbaya sana itazunguka ulimwenguni na kupata mwili mwingine na kuanza safari upya ya maisha kwa lengo la ijiruhusu kujirekebisha. Unapopewa mwili wa kutunza roho yako, roho yako tayari inakuwa inajua safari nzima ya dunia. Dna yako bado inakuwa na memory ya past lives lakini kutokana na amnesia unayopata wakati wa kuja ulimwenguni katika hali ya kifizikia (mwili) unasahau asili yako, bali roho yako bado inaweza ikakumbuka ila inazuiliwa na mind (memories za sasa, illusion, jamii inavyokufundisha, unachoamini n.k), deja vu ni kitendo ambacho kinakuwa kimejirudia katika ulimwengu wa roho (soul), na soul yako imeweza kukumbuka moment uliyopo lakini akili yako ya sasa haiwezi kukumbuka. Mara nyingi deja vu inaashiria upo katika njia iliyokusudiwa na roho yako na roho yako imeweza kushinda akili kwa kukumbuka marudio ya matukio yako katika maisha.
mkuu salute kwako,
hii imesaidia kujibu maswali yangu.
 
Apollo unamaanisha sisi tuliopo duniani.... Roho zetu ziliishi miaka iliyopita.? Na hakuna roho mpya inayoundwa tena..?

Roho iliumbwa kabla ya mwili, na roho inapewa mwili ili kuweza kupitia katika dunia ya Kifizikia (Dunia ya chini). Wewe ni sehemu ya Ulimwengu inayojitambua. Ulikwepo kiroho hata kabla ya kuja duniani, na utaendelea kuwepo baada ya kifo cha mwili. Unachopaswa ni kuishi katika haki na upendo kama asili yako ilivyo. Ukijitambua na kuishi katika maisha ya utakatifu unakuwa umeokoa nafsi yako na hutaendelea kuwa mtumwa wa dunia hii ya chini. You are part of God, live like your FATHER.

Kuhusiana na kujua kama wewe haya ndio maisha yako ya kwanza, ni vigumu kwa mtu wa nje kujua hilo. Mimi siwezi kufahamu kama hii ndio reincarnation yako ya kwanza ila wapo watu ambao kupitia kujichunguza kwa kina sana waliweza kuhisi kabisa kuwa haya sio maisha yao ya kwanza. Hata wewe unaweza, jichunguze kwa undani sana, angalia interests zako, sikiliza nafsi yako inapendaga nini, jaribu kulazimisha kumbukumbu ya safari yako ya maisha, kumbuka kuwa Nafsi inajua ukweli lakini Akili (Mind) haiwezi kujua ukweli na ina amnesia. Ni ngumu sana kujua labda uwe umefunguliwa jicho la tatu la ufahamu.
 
Back
Top Bottom