Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Mambo-ya-Pesa
*Kuna dem mmoja kaja home kaniomba pesa nikamwambia sina cash labda bank au M pesa akanambia hapo barabarani kuna wakala twende tukatoe, wakati tunatoka nikamtext mshikaji wangu nikamwambia mi nakuja hapo kwa wakala nikifika karibu nitajifanya kama naongea na simu halafu we utakuja kunipora. Kweli tumefika karibu na wakala mshikaji kaja kanipora simu kakimbia nayo mi nikabaki nashangaa kama cjui kitu cha ajabu yule demi kakimbizana na mshikaji cjui kamkamatia wapi kaja anampiga makofi jamaa yuko hoi dem kanigea simu nimetoa hela nimempa kaondoka hapa mshikaji nae kaniganda nimpoze maana sio kwa vitasa alivyochezea na shati lake limechanika hata cjui nifanyeje*