Mambo ya R1 na washkaji zake!

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Posts
2,619
Reaction score
771
Jana kuna vijana kama wanne walikuwa na tiketi za VIP B,lakini wao wakataka kuingia VIP A,polisi wakawakatalia,jamaa wakaanza vurugu za hapa na pale,lakini wakatolewa kwene lile eneo la VIP A,baadae wakaongea na simu kwa RZ1 ,then ile simu akapewa yule polisi aongeee nao,yule polisi akaona ishakuwa ishu ikabidi ampe Kamanda KOVA aongee na ile simu, Baaada ya muda KOVA akatoa amri kwa yule polisi akisema basi waache waingie tu hapo VIP A!Hayo ndio mambo ya RZ1 BANA,Tunasubiri baba yako amalize huo URAISI hapo 2015 uone cha moto!
 
Too much of rumours and make-belief stuff. Anyway napita tu.
 
Walikuambia kuwa wameongea na riz1 au ni umbea tu?
 
Na nyie sasa mmezidisha kipimo! Mnampa R1 umaarufu wa uongo ambao hamuwezi kuuthibitisha! Punguza uzushi kwani sio lazima uandike uongo ili kuongeza posts zako. Hatushindani humu, kama huna cha maana soma posts za great thinkers utapata angalau jambo jipya kila siku. Kuwa mkomavu wa mawazo!!
 
Yaan ulijitahidi kutudanganya ila ulipofika kwa Kova me nakuona mzushi kabisa yaan kova anaweza kufanyaa upuuz huo mbele za watu..hebu niache hapa nna namba za watu wa kufanana na wewe za global publisher naweza kukusaidia ili utoe uzush wako wakupe angalau ya vocha
 


Kwa Tanzania hii inawezekana. Si umeona kova alivocheza off side nyingi? Si ajabu nyingine huwa anapewa order na Mwanaasha Kikwete.
 
Wapi kaka Shigongo? Inakuhusu hii!!
 
Kwa Tanzania hii inawezekana. Si umeona kova alivocheza off side nyingi? Si ajabu nyingine huwa anapewa order na Mwanaasha Kikwete.

Ina maana Kovu naye alilamba ziro fomu foo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…