Mambo ya Shaolin Soka

Mambo ya Shaolin Soka

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,595
Reaction score
3,670
Yani nimekumbuka ile movie ya shaolin soccer ya wachina walivyokuwa na vitimbi

Wabongo nao wamekuja na kwao

 
Na kungfu hustle ni balaaa asee.ni uongo unafurahisha sana
 
Yani unacheka mpaka mbavu zinalalama [emoji2][emoji2][emoji2]
Nilicheka yule jamaa kachomwa visu akavifanya sidemirror kumcheki yule bibi anaemfukuza.na yule kibonge
 
Back
Top Bottom