MwakummaUdigoni utakutana na majina yanaanza na Mwa...mwa za kumwaga japo zinatofauti na Mwa za Unyakyusani mfano;
Mwafisi
Mwafujo
Mwajeki
Mwameja
Mwauchi
Mwavyombo
Mwakatika
Mwafujo
Hii umetudanganyaShelisheli
Kwani we hupendi sukariHahaha naona sukari imekua dili kila mkiona uzi hauleweki mnajua sukar imeoatikana
Hahahahaaaa......umetisha!Shetani