Mambo ya UDOM hayo!!

Mama Brian

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2010
Posts
320
Reaction score
21
Hi dears, soma hiyo attachment mnaionaje ebu toa maoni yako ukiwa kama great thinker!!!
 

Attachments

Haya ni mafanikio makubwa.tunaweza watanzania
 
Mfukunyuzi ndo nini lakini avatar hiyo?
 
Hongera sana kwa kazi nzuri sana na pia hongera kwa Watanzania wote
 
mmmh, yaani wanaanzisha chuo bila ya kuwa na wakufunzi wa kutosha! bongo oyeeeee!
 
Maoni yangu ni kuwa hili ni jukwaa la pichana sio attachment-tuanzie hapo kwanza
 
wewe toa maoni mambo ya jukwaa la pics au attachment baadaye. naona nimekula kasa hapa ok thanks for informing me. but what is your views on my attachment, teh teh!!
 
Ni mafaniko ya ukweli kwa mudfa mfupi bravo Kikwete

bravo ya kikwete ya nini?, mimi nadhani ya kutokula fedha za mradi zilizotengwa miaka mingi kabla ya kuukwaa huo uraisi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…