Unasema kweli, inapendeza sana, lakini hii si marumaru, ni sakafu ya mbao, sijui jina kiswahili, lakini wanaitumia sana Ulaya na Mmarekani, wanaiita "Wooden floor". Unafikiri nini kuhusu vile viti vikubwa ?Naipenda sana hii marumaru. Inaitwaje/Aina gani hii?
Marble floorsUnasema kweli, inapendeza sana, lakini hii si marumaru, ni sakafu ya mbao, sijui jina kiswahili, lakini wanaitumia sana Ulaya na Mmarekani, wanaiita "Wooden floor". Unafikiri nini kuhusu vile viti vikubwa ?
Parquet floorMarble floors
Sahihi kabisa! Si Ulaya na Marekani pekee, hata Asia (mf. China na India) wanaitumia sana.Unasema kweli, inapendeza sana, lakini hii si marumaru, ni sakafu ya mbao, sijui jina kiswahili, lakini wanaitumia sana Ulaya na Mmarekani, wanaiita "Wooden floor". Unafikiri nini kuhusu vile viti vikubwa ?