Kushinda na khanga moja kuna fanya bailojia ishinde inapumua na mazingira yote husika mpaka kule dawasco kunakuwa shwari hakutemi ovyo ovyo harufu kama wewe unavyo dhania kitu kinapunga upepo full time
Du!!! Kweli kabisa mkuu..kushinda na khanga moja kuna fanya bailojia ishinde inapumua na mazingira yote husika mpaka kule dawasco kunakuwa shwari hakutemi ovyo ovyo harufu kama wewe unavyo dhania kitu kinapunga upepo full time
Hahahaha kidume nimemwezesha hapo kodi ya miaka 2 ni 240,000/= najua wewe pesa hiyo unatumia wiki mbili imekata mwenzio nimempangia shemeji yako hapo na nikifika hapo napiga mluzi tu nazama geto kula lunch
Kuvaa khanga hakukatazwi lakini ujisitiri kidogo bahati mbaya wapite madogo wanakimbizana alafu ashike hicho kikhanaga si inakuwa balaa lingine
Alaaa kumbe!!!!siku hizi hatuvaagi hivi bana, tunatembea uchi kabisa!
Ahahahahahaaaah mkuu umenikumbusha tukio moja liliwahi tokea mtaani kwetu nyakati za asubuhi, mama mmoja kapiga zake khanga moja kama kawaida na anapiga mswaki nje, ghafla ukapita upepo ile khanga ikafunika kichwa chake, mambo yote hadharani ilibidi wapita njia na tuliokuwepo pale tufumbe macho na kuact kama hatujaona kitu....utamu ni pale kaupepo kanapoipuliza hiyo khanga duuuu ....kaupaja nje nje !!!
Hiyo ni Tsh na kidume naonekana mdosi uswazi si mchezo kodi ya miaka 2 hiyo
Aiseee hommie ukifika TIP TOP kama unakata kuja TANDALE UZURI halafu unarudi kama vile unaenda kutokea njia ya kwenda MABIBO kheeee kheeee kheee kule ni hatari kuna haja ya kufanya RESEARCH kama ya wiki hivi
Sasa kwa shemeji yako mlango wa pili anako elekea Bi Mwanakombo
uswazi ni kawaida sana kuona mtu anatoka na khanga moja kwenda dukani kwa mangi
jamani khanga ina hamasa zake kwa wapenda nao mtoto wa mboga saba akija uswazi aone mambo ya khanga moja lazima ataishia kujichafulia kwa suruali. Uswazi kuna raha zake jamani.
madhara ya kanga moko niliyaona siku ya mabomu gomz kina mama wengi walikimbia uchi vyombo njenje:decision::rain:
khanga moja balaa,,,, naishi maeneo ya kijitonyama na familia fulani hivi iliyobarikiwa watoto wakike waliojaaliwa sehemu flani hivi yaani kila siku asubuhi na usiku napata shida
haisemeki sababu ya khanga moja, vibration za kufa mtu mpaka mahema yanajengwa.
khanga moja balaa,,,, naishi maeneo ya kijitonyama na familia fulani hivi iliyobarikiwa watoto wakike waliojaaliwa sehemu flani hivi yaani kila siku asubuhi na usiku napata shida
haisemeki sababu ya khanga moja, vibration za kufa mtu mpaka mahema yanajengwa.