Mambo ya uswazi

He he!
Kuna siku nilipita uswazi bwana, nikaomba kwenda kujisaidia.
Choo cha nje, kuingia shimo silioni.
Ikabidi niwaulize wenyeji vipi? Wakaniambia.."umeona hilo koleo pembeni?" nikaitika ndio.. "umeona na hilo pipa refu humo ndani?" nikajibu ndio..
Akasema "sasa, we jisaidie chini, ukimaliza chota kinyesi chako na hilo koleo halafu kirushie ndani ya pipa."
 
Kanga moja kwenye folen za maji halafu zinatokea ndundi! Aaah mwisho ni mambo hadharani.
 

Ulikuwa umebanwa na mavi au mkojo?
 

Hii ni mtwara ndanindani au hapahapa dsm??? maana
 

Umenikumbusha home!
 

unajua uswazi wanajiamini coz makanga yao mazito tofauti na huku wanakovaa nguo transparent (night dress)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…