kiumbempole
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 593
- 983
Hebu pata muda uone hawa wenzetu walivyoruhusu uwekezaji wa China kustawi huko Zambia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni makosa yetu sisi wenyewe. Ona kilichotokea zimbabwe. Watu wamepewa mashamba ya wazungu badala walime wanauza machine za kuhudumia shamba. Yani unakuta mtu yuko tayari atumikishwe kwa ujira mdogo, akiambiwa kujitumikisha mwenyewe apate zaidi hatakiWatakuwa wanatutukana kweli watu hawa wakikaa pekeyao na kijisemea kamsemo AFRICANS ARE REAL PRIMITIVE... LET'S RULE THEM..
Wameweza vipi kulowea kiasi hiki ndani ya Zambia?Wachina Zambia ni kama wapo ndani jimbo lao
Maskini sisi!Ni makosa yetu sisi wenyewe. Ona kilichotokea zimbabwe. Watu wamepewa mashamba ya wazungu badala walime wanauza machine za kuhudumia shamba. Yani unakuta mtu yuko tayari atumikishwe kwa ujira mdogo, akiambiwa kujitumikisha mwenyewe apate zaidi hataki
Hebu pata muda uone hawa wenzetu walivyoruhusu uwekezaji wa China kustawi huko Zambia
Na KItatokea tu subiri miaka mitano mbele.Kilichotokea Zambia usiombe kitokee hapa ndio tutakwisha kabisaaa
Mungu wangu😓😓😓Na KItatokea tu subiri miaka mitano mbele.
Sasa hivi KULe Mafinga kila sehem wamejaa wao
Hivi mkuu hata leo hii umpe mkulima mdogo tu hapa Tz, ma hekari ya ardhi bila kuwa na pesa ataweza?nchi inatenga 3% ya bajeti ndio inapelekwa kwenye kilimo, utegemee miujiza?kilimo chenyewe hicho cha kutegemea mvua?kuwa na rasilimali bila ya kuitumia haina maana acha wenye uwezo wa kuitumia waitumie na wewe ufaidike kwa kiwango chako.huko zimbambwe mbona zamani ilikuwa ndio ghala la chakula wakati wazungu ndio wameshika kilimo.Ni makosa yetu sisi wenyewe. Ona kilichotokea zimbabwe. Watu wamepewa mashamba ya wazungu badala walime wanauza machine za kuhudumia shamba. Yani unakuta mtu yuko tayari atumikishwe kwa ujira mdogo, akiambiwa kujitumikisha mwenyewe apate zaidi hataki
Ndiyo mkuu. Nilienda kijiji flani kinaitwa ubaruku mbeya, nilikuta wachina wana mashamba makubwa ya mpunga.Hivi mkuu hata leo hii umpe mkulima mdogo tu hapa Tz, ma hekari ya ardhi bila kuwa na pesa ataweza?nchi inatenga 3% ya bajeti ndio inapelekwa kwenye kilimo, utegemee miujiza?kilimo chenyewe hicho cha kutegemea mvua?kuwa na rasilimali bila ya kuitumia haina maana acha wenye uwezo wa kuitumia waitumie na wewe ufaidike kwa kiwango chako.huko zimbambwe mbona zamani ilikuwa ndio ghala la chakula wakati wazungu ndio wameshika kilimo.
Na ni waharibifu wakubwa wa vyanzo vya maji ili wamawagilie mashamba yao. Na usishangae kuwa ana namba ya RPC, RC na mbunge.Ndiyo mkuu. Nilienda kijiji flani kinaitwa ubaruku mbeya, nilikuta wachina wana mashamba makubwa ya mpunga.
Yes uwa wanalindwa na viongozi. Ila wachina pia ni wanyonyaji sana na hilo ndilo linanifanya niwe na mashaka na uwekezaji wao. Hata wafanyakazi mishahara ovyo, mazingira wanaharibuNa ni waharibifu wakubwa wa vyanzo vya maji ili wamawagilie mashamba yao. Na usishangae kuwa ana namba ya RPC, RC na mbunge.
Kuna mama wa Kichina aliyesababisha pilipili manga zipande bei. Alinunua kwa bei yeyote aliyotajiwa. Alisafirisha magunia kuanzia 200-300 ya pilipili manga kupitia bandari. Alizifungia Tanga na huko amenunua ardhi kama heka 200. Alichofanya ni mwanae kumzalisha binti wa Kisambaa.Yes uwa wanalindwa na viongozi. Ila wachina pia ni wanyonyaji sana na hilo ndilo linanifanya niwe na mashaka na uwekezaji wao. Hata wafanyakazi mishahara ovyo, mazingira wanaharibu
Aisee, ndiye yule malkia wa tembo yule aliyefungwa?Kuna mama wa Kichina aliyesababisha pilipili manga zipande bei. Alinunua kwa bei yeyote aliyotajiwa. Alisafirisha magunia kuanzia 200-300 ya pilipili manga kupitia bandari. Alizifungia Tanga na huko amenunua ardhi kama heka 200. Alichofanya ni mwanae kumzalisha binti wa Kisambaa.
Kumbe bwana katika magunia anayosafirisha kila humus anaweka meno ya tembo, faru na madini.
Watakuwa wanatutukana kweli watu hawa wakikaa pekeyao na kijisemea kamsemo AFRICANS ARE REAL PRIMITIVE... LET'S RULE THEM..
Yule mama hata akitoka jela hela aliyochuma Tanzania atakula mpaka na vitukuu vyake.Aisee, ndiye yule malkia wa tembo yule aliyefungwa?
Hawa wachina siyo marafika wetu hata kidogo. Hata wazungu ni wezi, ila wachina wanaiba mpaka masufuria