Mambo ya Watoto

Mambo ya Watoto


Vijana wanatwangana mpaka mpita njia anawaamulia.


 
Risk kubwa sana wanachezea hawa watoto!
Kwa wenye familia, hapo unaona live ujio wa matatizo ndani ya nyumba!
Too bad!
 
hao si wanakula na kulala kwa baba?
waache tu kwani wakikua wataacha!
 
hahaha Mxshimba umenichekesha ..na hicho kibibi kinachovuta sigara bado ni kitoto ?
 
Back
Top Bottom