Mambo yahusuyo ndege BUNDI na Jinsi anavyotumika Kishirikina

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Screenshot_20230227-104329.png

BUNDI ANAVYOTUMIKA KATIKA UTAJIRI, NUKSI, NA USHRIKIANO WAKE NA WACHAWI

Kwanza bundi ni ndege wa ajabu kidogo,anajitofautisha na ndege wengine kwa tabia zake ambazo kwa asilimia kubwa wanga wengi hupita anamopita yeye. Bundi anauwezo wa kuzungusha kichwa chake mara tatu kama vile unavyozungusha msukan wa gar unapotaka kukata kona. Ndiyo maana anakuwa na uwezo mkubwa wa kuona mbele na nyuma na pande zote kwa wakat mmoja.

Bundi yeye hatengenezi kiota cha kutagia anasubiri ndege wengine ambao washatengeneza washatotoa washakihama kiota yeye ndo ukitumia na kutagia wakati mwengine hutafuta tu pahala pakujificha akataga mayai yake.

Bundi anao uwezo wa kutoroka ikiwa umemfunga kwa kamba

Bundi anataga mayai zaidi ya mawili katika mayai yake kuna yai moja linakuwa na alama aidha iwe msikiti, kanisa, nyota, mwez, nyumba au alama yoyote tukufu kuyatofautisha na mayai mengine na hilo ndilo linalotumika hasa kwenye shughuli za matibabu na utajiri. Shart lake kubwa asilione mwanamke hata kama anayetaka kufanyiwa ni mwanamke basi atume wanaume ndo walisake kisha yeye hupewa kazi ikiwa imekamilika.

Ndege huyu anauwezo wakutua nyumban kwako usiku na akaondoka na wewe usijue.
Ikiwa umesikia sauti yake basi jua ametaka wewe usikie na kuna taarifa muhimu anakupatia iwe ya heri au shari ili kutambua yatakiwa uwe mjuzi wa hayo mambo. Yaweza akawa mwenyewe tu kaja kukupa taarifa kwa kukupenda pia yaweza akawa katumwa na wachaw kuleta au kuchukua kitu.

Bundi anatembea usiku na anaona vizuri tu kuliko mchana, bundi akifumba macho ndio anaona vizuri zaidi kuliko akiwa macho na tabia zote za bundi ndizo wanazozitumia wachawi usiku

KUJIKINGA NA VITU VYA KICHAWI
Utafika kwenye kiota alipotagia bundi ambacho keshatotoa chukua vile vijiti alivyoviacha husagwa na kutengenezewa unga huchanganywa na usembe wa mangube wenyewe orijino kisha huchanjiwa mtu mikononi miguuni na kwenye paji la uso na baadhi ya sehem ya mwili.

Ikiwa utashika au kupewa kitu chochote cha kichawi basi kitakatika hapohapo, ikiwa unakutana tu mchawi basi atakuheshimu na kukuogopa na anaweza kukukimbia.

Kuna dawa nyengine huchanganywa na hivyo vijiti hutengenezewa uji au huwekwa kati kati ya tonge la ugali kisha hulishwa mtu baada ya muda atapata usingizi basi akilala huona mambo yote anayoyafanya mume au mke ya usaliti. Na kuanzia hapo kila nyendo za mwenzie za mchana kutwa yeye huziona usingizin.

Kamba au kijiti alichojifungulia bundi baada ya kufungwa hutumiwa na wez wawe wasioonekana anaiba muda wowote ule na mnaweza mkamfunga kamba akakata hutengenezwa na madawa maalumu.

Jicho la bundi hutumiwa na wabashiri au wapiga ramli za njozi kuna mafanyo yake na matayatisho yake basi yeye anaona hata vilivyo ulaya pindi anapotaka kupiga ramli zake.

Yai la bundi lile lenye alama kama nilivyoeleza hapo juu hutengenezewa mvuto wa biashara huandikwa tarasim maalum kisha husomewa balhatia 42 kisha hufungwa na kitambaa utaweka sehem yako ya biashara au sehm unayowekea fedha utafanya biashara na faida utaiona.

Manyonya yake ukichanganya na dawa yoyote ya kuchoma basi dawa huitika na majibu utayapata kwa haraka. Mfano unataka kumvuta mtu ukapewa dawa za kuchoma ukachanganyiwa na manyoya yake majibu yake ndani ya muda mfupi.

C & P
 
View attachment 2531427

Bundi kama bundi ni hatari sana
 
Umeniacha hapo uliposema yai moja la bundi lina alama eidha msikiti, kanisa au nyota. Can't be true at all
 
Back
Top Bottom