Hiki Chama kinajua kula na kipofu na sasa wanakata mbuga na wananchi walio wengi wameanza kukielewa kwa kasi.
Ijulikane tu wametia mguu ndani ya serikali ya Zanzibar na sasa ni zaidi ya mwendo kasi wakidai mamlaka kamili ya Tanganyika na mamlaka kamili ya Zanzibar ili waTanzania wajielewe.
Kuhakikisha kuwa Tanzania inalindwa kwa hali na mali ni lazima wandugu wajulikane kuwa ni Tanganyika na Zanzibar ,kichaka wanachojifichia walanguzi wa Nchi aka CCM (Chama Cha Manyang'au) ni lazima kifyekwe na kuwepo na ukweli na uwazi,
Tanzania chini ya Zanzibar na Tanganyika itapiga hatua kubwa sana kuliko ilivyo sasa ,hakuna maendeleo ya mwananchi mmoja mmoja.
Hongera ACT Wazalendo kwa kuwaonyesha dira WaTanzania.