Inatolewa hasa kwenye mashirika ya kimataifa.Inakuwa ya siku 30 tu na inatakiwa ichukuliwe kabla mtoto hajatimiza umri wa mwaka mmoja.Ni likizo ya malipo na haiathiri siku za likizo ya kawaida.Mmh kumbe kuna likizo ya uzazi kwa mwanaume?! Inakuwa ya muda gani na kipindi gani cha uzaz?! Ni yenye malipo?!
Inatolewa hasa kwenye mashirika ya kimataifa. Inakuwa ya siku 30 tu na inatakiwa ichukuliwe kabla mtoto hajatimiza umri wa mwaka mmoja.Ni likizo ya malipo na haiathiri siku za likizo ya kawaida.
Kwa watumishi wa uma/ serikalini,Baba Mwajiriwa, utapewa siku tatu za likizo ya uzazi.Mmh kumbe kuna likizo ya uzazi kwa mwanaume?!