Mambo yalikuwa hivi wakati wa kujiandisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
3,564
Reaction score
1,991
MWANDISHI: Unaitwa nani? MMAKONDE: Jina langu ukiliandika litaloanisha kitabu. MWANDISHI: We sema tu unaitwa nani? MMAKONDE: Jina langu ukiliandika litaloanisha kitabu labda uandike ndani ya ndoo. MWANDISHI: Jamani jina gani hilo lisiloweza kuandikika kwenye daftari na kuandikwa kwenye ndoo? MMAKONDE: Jina langu naitwa maji.

Tehe tehe tehe tehe mwandishi na watu waliokuwa pembeni yake wakaangua kicheko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…