Leo tumeenda canteen kwetu hapa na Wafanyakazi wenzangu mambo yakawa hivi
Mimi: samahani Dada naomba Supu chapati mbili
Wenzangu : Wengine sambusa chai, chapati chai
Mimi: Dada waletee na hawa Supu sipendi kunywa Supu pekeangu watu wananiangalia
Wenzangu wakanishukuru
Basi tumekunywa
Mdada: bili Supu moja na chapati ni 3000 zidisha Kwa zilizotumika.
Mimi😱oh nikitoa 3000 nikalipa nikasema Wape Kila mmoja bili alipe sipendi kulipa mimi pekeangu watu wananiangalia.
Sasa Hivi Tupo ofisini hatuongeleshani nafikiri wamebanwa na kazi
Ila mm nina upendo kwa mwenzangu