GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,241
- 3,800
Kweli Rau madukani acha paitwe Rau madukani.
Ni hivi,juzi nilikutana na dada mmoja mrembo sana pale Rau madukani anaitwa Reah.
Nikatupa ndoano akanasa fasta sana bila kusumbua hata kidogo. Tukapanga tukutane jioni kwenye dina ili tuzungumze kidogo.
Sasa kipindi tunapata dina bidada akaanza kuniambia anashukuru Mungu mwanae amefaulu darasa la saba kwa wastani wa (A) sasa ameongea na ndugu yake mmoja kamwambia atafute milioni moja na laki nne ili amsaidie mwanae apangiwe shule ya kipaji maalumu.
Sasa akaniomba nimpe laki saba hizo zilizobaki ataongezea mwenyewe kutoka kwenye biashara zake.
Duuuuh nikaona hii ni laana yaani dina siku ya kwanza nanyooshwa laki saba ili nianze kusomesha!
Mood ikakata palepale nikategesha alarm kwenye simu ilipoita tu nikapokea nikaanza kuongea huku nasepa.
Eti Uzi tayari duuuuh.