Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Jamani, hapo kabla sikuwahi kusikia haya mambo. Na kama yalikuwepo basi ni wachache sana. Ila kwa sasa hata ndugu zangu akina muraa, nao wanamezwa na mabadiliko.
Mwanaume kumtegemea zaidi mwanamke atafute kipato cha kulisha familia, kwa sasa imekuwa kawaida kabisa
Mtoto wa kiume kukaa nyumbani huku akitegemea wazazi wake wamlishe, wamvishe wampe malazi imekuwa jambo lisiloshangaza.
Mwanaume mtu mzima mwenye kila kiungo cha mwili kilichokamilika, anakutana na mwanamke anamuomba 'buku' tena bila aibu.
Wanaume wa kitanzania wamekuwa watu wa kulalamika badala ya kufanya maamuzi. Tunaelekea wapi?