SoC03 Mambo yamekuwa rahisi sana siku hizi

SoC03 Mambo yamekuwa rahisi sana siku hizi

Stories of Change - 2023 Competition

Deal28

Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
96
Reaction score
114
Sahau kuhusu madhara ya internet katika nyanja zote za kijamii, lakini uwepo wa internet umesaidia vitu vingi, mfano mambo ya manunuzi, mawasiliano, lakini pia kwasisi ambao tunapenda pesa za chap chap, kampuni mbalimbali zimekuwa kinara kuanzisha michezo mbalimbali ambayo inapatikana kwenye simu za kiganjani( smartphone), mfano michezo ya slots( madubwi ya mtandaoni) yale yatoa hela sana

Halafu nimesikia kuna mahala wamekuja na promosheni yanayohusiana na slots, mzigo wa kujaa million 200 Alooh hii siyo ya kukose

Kwa upande wako internet imekusave nini?
 
Upvote 4
Kuwa masikini huku una smart phone ni matumizi mabaya ya akil maana mbinu zote zipo google
 
Back
Top Bottom