Mambo yanayosababisha nionekane nina dharau.

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Wakuu wangu, Watanzania wenzangu, kwema?
Sifahamu bado kama natakiwa kuwahishwa milembe au la!

1. Kutojibana
Nimegombana mno na wanawake kuhusu hili. Mimi ni mtu wa totoz kiasi. Mara nyingi wananiita mchoyo, na nina gubu, kwa sababu nanunua 1kg ya nyama au maini, napika na kula peke yangu.
Mimi siwezi unafiki, nyama sijui 0.5kg mara 0.25kg siwezi kula. Naanzia 1kg. Tunakosana sana na mpenzi wangu, na wanawake kwenye hili. Sijui kujibana.

2. Kusema hapana.
Mimi sipendi unafiki. Kwenye ndiyo nitasema ndiyo, kwenye hapana nitasema hapana, bila kupepesa macho. Halikadhalika kwenye mahusiano, siwezi kusema ndiyo kama jibu ni hapana. Nagombana na nimegombana sana na wanawake, wengi.

3. Kutofuatilia kitu kinachoitwa makabila na aina zake za watu.
Hili ni mpaka wanaume wenzangu huwa nakwazana nao sana.
Mimi najua kuwa TZ kuna mikoa zaidi ya 24, na mikoa yote inakaliwa na Watanzania. Suala la kujua mkoa huu ni kabila fulani na huu ni kabila fulani, huwezi kulikuta akilini mwangu.

Kuna raia zaidi ya 20+ niliwakwaza sana baada ya kuwauliza kuhusu makabila yao.
Mwanza: najua ni mkoa na sincerely sijui makabila yapi yapo huko.
DSM: najua ni mkoa na najua makabila mengi yapo.
Kilimanjaro: ni mkoa na sijui makabila gani yapo huko, najua ni WaTZ, na inatosha.

Kuna watu kadhaa waliojitambulisha kuwa Wachaga (sijui ni kabila la mkoa upi na linajihusisha na nini hasa) waliniwakia sana. Sababu kubwa ni mimi kuwauliza wao kuwa Kilimanjaro wanapatikana watu gani. Halikuwa kosa langu, nilihitaji kufahamishwa.

Na kuna dada mwingine ambaye nilikuja kujua ni kabila la 'machane' hivi(sijui kama nimepatia na sijui lipo mkoa upi), aliniwakia kama mwanaume. Sababu ni mimi kuhoji kabila lake lipo wapi na linajihusisha na vitu gani. Halikuwa kosa langu.

4. Kuwa mkavu ninapofanya ngono. Mimi napenda ngono mahali penye mwanga, na napenda niwe namtazama usoni mwanamke wangu. Wengi wananiona nina dharau. Mimi sina dharau. Pia napenda rough sex hali ambayo inafanya nionekane nina dharau na mhuni, mimi sipo hivi.

Mimi napenda watu walionyooka, na binafsi nimenyooka. Sipendi kona kona. Ndiyo kwangu ni ndiyo, na hapana kwangu haiwezi KAMWE kuwa ndiyo.

Toka napata fahamu, sikuwa interested na kitu inaitwa makabila. Mimi najua wote tu Watanzania, basi!

Pia kuna hawa Nyaturus kama sikosei, ni wa wapi? Ni wa Shinyanga?
 
Ka mdalasini ni muhimu lakini!
 
20240916_143408.jpg
 
Back
Top Bottom