maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,415
- 3,213
Asalaam aleykum!
Napenda kwanza kumshukuru ALLAH kwakunijaalia afya njema kwani wala si kwaujanja wanu ila ni kwa rehema zake.Dhumuni la kuletwa duniani ni kumuabudu yeye aliyeumba mbingu na ardhi pamoja na vilivyomo kwa haki tena bila ya kasoro ya aina yeyote.
Yapo mambo mengi sana ambayo watu wanasema kuwa ni contradictions katika Quran kiasi kwamba inapelekea waseme kwamba ni maneno ya kutungwa na binadamu.Kwanza napinga kwasababu kutokuelewa jambo haimaanishi ni contradictions,kwa mfano ALLHA katika Quran amesema kwamba Dunia inazunguka kwa mwendo wa mawingu sasa isisemwe kua ni contradictions kwasababu mtu fulani au watu fulani hawaoni jinsi ambavyo dunia inazunguka kwa mwendo wa mawingu.Mifano iko mingi sana ila ntatumia michache ili kuelezea ukweli wa mambo.
Ntazungumzia zaidi katika swala la uumba wa mwanadamu maana kwa atakaye elewa hapa basi atagundua kwamba katika Quran tukufu hakuna contradictions ila kuelewa inabidi IQ yako iwe ni Merit bila ya hivyo ukilazimisha kuelewa unaweza kuanza kuzurula ovyo mitaani huku unacheka.Pia napenda kumpa pole sana wale ambao waliyeandika mambo ambayo wameshindwa kuyaelewa kutokana na akili zao kua ndogo nakusema eti ni contradictions katika Quran
1. What was man created from: blood, clay, dust, or nothing?
Mungu alimuumba ADAM na baadae HAWA kwa lengo la kuja kuishi katika dunia wamuabudu yeye tu,lakini kwakua alitaka watu waongezeke wawe wengi akawatengenezea maumbile ya mwili ambao binadamu wengine wangetokana na hao.Maana yake ni kwamba mungu alikua anajua kwamba atamuumba HAWA kabla hata ya kumuumba ADAM na ndio maana ADAM akawa na maumbile ya kumfanya HAWA aweze kubeba mimba.Hii inamaanisha kwamba kama mungu alikua hajui ya kwamba atamuumba HAWA basi ADAM asingeumbwa katika maumbile ambayo yalimwezesha kumfanya HAWA awe na uwezo wa kubeba mimba na kuzaa.Ukiwa na akili utaona kwamba binadamu kiroho wote tumeumbwa pamoja ila kimwili wa kwanza kuumbwa ni ADAM.ALLAH anapozungumzia uumbaji wa mwanadamu anazungumzia katika roho na mwili,katika mwili anazungumzia mfumo mzima wa uzazi wa mwanamke pamoja na mwanaume.Kama ingekua sio lengo la ALLAH kutuumba sisi katika mwili basi angemuumba ADAM peke yake katika roho na kama angemuumba katika mwili wala asingempa mwili na maumbile yake aliyomuumba nayo.
Kwa ALLAH kitu chenye thamani kati ya roho na mwili ni ROHO tu na ndio maana ukifa unabaki mwili tu ambao unaoza na hata usipooza hauna faida katika dunia.Pia kama mungu asingekua na uwezo wa kumfufua binadamu katika umbo lake baada ya kufa basi binadamu tungelikua tunapaa na miili yetu kwenda Akhera.Kama ukiuliza kwanini ALLAH ametuumba binadamu jibu ni KUMUABUDU YEYE na ukiuliza kwanini tumuabudu jibu ni ATENDEYE ATAKAYO.Mwisho napenda kutoa jibu la jumla la jumla kwa maswali yote ambao wenye akili ndogo wameshindwa kuelewa na wanasema ni contradictions katika Quran.Jibu la maswali yote ni QURAN 85:16 "Atendaye ayatakayo"Atayeelewa maelezo haya atakua ameelewa maswali yote na atakayeshindwa kuelelewa basi hatoweza kuelewa maswali yote kwasababu upeo wake ndio umefika mwisho
75:37 Kwani hakuwa yeye tone ya manii lilio shushwa?
75:38 Kisha akawa kidonge cha damu, tena Mwenyezi Mungu akamuumba na akamtengeneza vilivyo.
75:39 Kisha akamfanya namna mbili, mwanamume na mwanamke.
32:8 Na kisha akajaalia uzao wake utokane na kizazi cha maji madhaifu.
32:9 Kisha akamtengeneza, na akampulizia roho yake, na akakujaalieni kusikia na kuona, na nyoyo za kufahamu. Ni uchache mnavyo shukuru.
3:6 Yeye ndiye anaye kuundeni ndani ya matumbo ya wazazi kwa namna apendayo. Hapana mungu ila Yeye, Mwenye nguvu na Mwenye hikima.
37:7 Ambaye ametengeneza vizuri umbo la kila kitu; na akaanzisha kumuumba mtu kwa udongo.
35:11 Na Mwenyezi Mungu amekuumbeni kutokana na udongo. Kisha kwa tone la manii. Kisha akakufanyeni mwanamume na mwanamke. Na mwanamke yeyote hachukui mimba, wala hazai, ila kwa ilimu yake. Na wala hapewi umri mwenye umri mrefu, wala hapunguziwi katika umri wake, ila yamo hayo katika Kitabu. Hakika hayo ni mepesi kwa Mwenyezi Mungu
NB;Asiyeweza kuelewa ufafanuzi huu ni ABNORMAL kwahiyo asilazimishe kuelewa maama ubongo utapiga SHORT