Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Nahisi mgogoro wa congo ni zaidi ya tunavyoelezwa,ila hakuna anaetaka kusema ukweli.
1) Dhana ya wizi wa madini,
Mnashangaa sana Kwa Nini wanunuzi wakubwa wa madini na rasilimali za congo kwa Nini wasifanye biashara halali kwa kununua kwa mmiliki halali na halisi wa rasilimali hizo ambae ni congo badala yake wakubali kununua kwa wezi wa madini hayo ambao tunabiwa ni Rwanda na Uganda?
Kwa sababu Bei ni Ile Ile ukinunia kwa mmiliki halali ambae ni congo utauziwa kwa Bei ya soko na ukinunua kwa mwizi ambae ni Rwanda utanunua kwa Bei ya soko.
Sasa Kwa nini hao wanunuzi wasinunue kwa mmiliki halali badala ya kununua rasilimali na madini yenye damu?
2) Kwamba Rwanda kupitia M23 inaenda kuwasaidia raia wa mashariki ya congo wenye asili ya Tutsi ambao wanabaguliwa na kuteswa na serikali ya Congo.
Hii Dhana inashangaza sana.
Ukweli haupingiki kua Kwa hapa Afrika mipaka yote iliwekwa na wakoloni bila kujali kabila moja linaweza kua limegawanywa mara mbili yaani sehemu ya kabila hilo Iko nchi moja na sehemu ya kabila hillohilo Iko upande wa nchi nyingine.
Mfano wamakonde wako Tanzania na wengine Msumbiji,Wamasai wako Tanzania na wengine wako Kenya na pia ndivyo ilivyo kwa Tutsi wapo Rwanda na wengine wapo Congo.
Na pia inaweza ikawa hivyo kwa kabila moja likawa kwenye nchi hata Tatu. Mfano watutsi wapo Rwanda,Burundi na Congo.
Sasa kitu kinachonishangaza hapa ni hoja hii kua M23 na mfadhiri wake kua wanaivamia congo kwenda kuwasaidia Warusi wenzako wanaoteswa na kubaguliwa na congo.
Hapa ndipo penye utata.
Nchi moja inawezaje kuivamia nchi nyingine huru kwa ajili ya kwenda kuwa kuwasaidia raia wa nchi nyingine.
Hivi kama ikiwa hiyo ni halali je Kenya inaweza ikaivamia Tanzania kwa ajili ya kuja kuwasaidia wamasai?
Hali itakuaje hapa?
Au Tanzania inaweza kuivamia Msumbiji kwa ajili ya kwenda kuwasaidia wamakonde kwamba wanaonewa?
Ama Somalia inaweza kuivamia Kenya kwa Dhana kwamba wasomali wanaonewa na Kenya?
Ama nchi nyingine ikaivamia nchi nyingine Kwa kwenda kuwaokoa watu wa mpakani wenye asili zinazofanana?
Mfano Uganda na Sudan n.k
Jamani hayo ndio maswali yangu yanayonichanganya ,naomba wajuzi mnisaidia kujua je sababu hizo ndio?
Au Ile sababu ambayo hua inanong'onwa nyuma ya pazia ndio IPO hapa lakini watu hawaiwekwi wazi?
(Bahima Empire).
Anagalizo,naomba tusijadili mzozo huu nje ya nchi za ukanda wa maziwa makuu.
Bahima Empire.