Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Dec 25, 2020 #1 1.Mademu. 2.Mitungi. 3. Pesa. 4.Technology.
Leonardchama7 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 2,963 Reaction score 4,027 Dec 25, 2020 #3 Ongeza na uchawi
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Dec 25, 2020 Thread starter #4 Leonardchama7 said: Ongeza na uchawi Click to expand... Hii nakubaliana nayo japo siamini uchawi.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 25, 2020 #5 Mkulungwa makusudi said: 1.Mademu. 2.Mitungi. 3. Pesa. 4.Technology. Click to expand... Hivyo ni viungo vya uzazi vya shetani
Mkulungwa makusudi said: 1.Mademu. 2.Mitungi. 3. Pesa. 4.Technology. Click to expand... Hivyo ni viungo vya uzazi vya shetani
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 5,606 Reaction score 7,032 Dec 25, 2020 #6 Zipo dhambi nyingine zaidi ya hiyo orodha hapo juu. Lakini ni ukweli pia hata Biblia inasema kuwa mojawapo ya chanzo kikubwa cha mabaya mengi duniani ni kupenda fedha.... yaani tamaa ya kupata/ kuwa na fedha kwa njia haramu.
Zipo dhambi nyingine zaidi ya hiyo orodha hapo juu. Lakini ni ukweli pia hata Biblia inasema kuwa mojawapo ya chanzo kikubwa cha mabaya mengi duniani ni kupenda fedha.... yaani tamaa ya kupata/ kuwa na fedha kwa njia haramu.
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,138 Reaction score 22,236 Dec 25, 2020 #7 first and foremost; define neno wakulungwa.
Fundisanifu JF-Expert Member Joined Nov 3, 2016 Posts 526 Reaction score 641 Dec 25, 2020 #8 UONGO.. hii dhambi itatutafuna wanaume asilimia 99. Sent using Jamii Forums mobile app
Leonardchama7 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 2,963 Reaction score 4,027 Dec 26, 2020 #9 Mkulungwa makusudi said: Hii nakubaliana nayo japo siamini uchawi. Click to expand... Huamini kama uchawi upo?au huamini nini ?
Mkulungwa makusudi said: Hii nakubaliana nayo japo siamini uchawi. Click to expand... Huamini kama uchawi upo?au huamini nini ?