Mambo yatakayoifanya yanga tufungwe na simba. Tuwe makini sana

Bwana Bima

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
429
Reaction score
929
Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC ✍️.

Kila mchezo unaohusisha timu mbili ndani ya uwanja kuna anayeingia kama favorite (anayepewa nafasi kubwa ya kushinda) na kuna underdog (anayepewa nafasi ndogo ya kushinda).

Sasa ipo hivi, kutokana na muendelezo wa Young Africans kwenye michezo yote ya msimu huu yote ni story, ila kikubwa ni ile head to head ya Simba Vs Yanga (michezo iliyowakutanisha wenyewe kwa wenyewe).

Mchezo uliopita Yanga tuliibuka na ushindi wa Magoli Matano kwa moja dhidi ya Simba, sio magoli tu, kiwango cha mchezo hasa kwa wachezaji wa Yanga kilikuwa juu sana, hakuna aliyekuwa na rating ya chini ya 7.4 hii ina maana kwamba wachezaji wote wamefanya kila kitu uwanjani kwa wastani wa zaidi ya asilimia 70 kila mmoja.

Jambo la kwanza:
1. Yanga isipoheshimu mpinzani wake kutokana na hali anayopitia kwa sasa anapopata ugumu wa kupata matokeo, ukweli ni kwamba Simba hawachezi vibaya ila kwenye eneo la finishing ndo wameshindwa kuwa clinical.

Jambo la pili:
2. Yanga ikibadilisha mfumo wake, siku zote faida ya timu kuwa na mfumo ni kuipa timu balance na Chemistry (uzani na muunganiko) hivyo basi mfumo ukibadilika muunganiko utapotea na tutaadhibiwa.

Jambo la tatu:
3. Non-stop Attacking:
Namaanisha kuingia kwenye mchezo wachezaji wote wakiwa Attacking minded, yani wote wanawaza kushambulia tu, wote wanapanda tu, hii itaacha mianya mingi na tutafungwa kirahisi kwa counter attack.

Jambo la nne:
4. Over confidence (kujiamini kupitiliza)
Mechi tuliyowafunga Simba goli tano walijiamini kupitiliza na tukawaadhibu vibaya mno sasa wanasemaga "Karma is Real" tukifanya kama walivyofanya wao basi litatupata jambo.

Jambo la tano:
5. Yanga isipojituma itatucost, dunia nzima hata kama timu ni bora vipi kama haitajituma basi kupoteza itakuwa rahisi sana, tusahau yale matokeo yaliyopita wachezaji waipambanie nembo ya Club, mbali na hapo yatatokea kama Ya Yanga na Azam, walijituma mwishowe wakapata matokeo kupitia sisi ✍️

All in all kocha wetu ni mzoefu, naamini anayaelewa haya yote, naamini amejipanga kuja na falsafa na mipango mizuri ya kumchakaza mtani kwakuwa uwezo tunao.

Kingine, wameamua kuachana na mpira wameamua kuwa waongeaji sana tuachane nao hawa SIMBILIZI tar 20 is loading 🔥

Here we go Young Africans 🔰👊🏽
 
Hayo yote Young Africans tunajua na mengi zaidi ya hayo
Kuwa na amani mwananchi

Safari hii tutampiga mtani goli 3 tu
 
Msemaji kashasema, timu haina mtazamo wa mashabiki wengi kwamba tunaenda kumfunga Simba, game ni ngumu.. si nyepesi hata kidogo... Simba wana ghadhabu kwa kutokufanya vizuri kwa mechi kadhaa nyuma, istoshe hiyo ndiyo game muhimu ambayo itawaweka kwenye hali nzuri ya kuwania ubingwa wa ligi kuu, hivyo game wanaitaka kwelikweli...

Game si rahisi, na yeyote anafungwa
Binafsi naona sare hii game
 
Acha kutisha watu hapa! Timu ya simba haina maajabu yoyote yale kwa sasa. Ushindi kwa Yanga hiyo tarehe 20 uko mikononi mwa kocha Miguel Gamondi. Akianzisha kikosi cha chake cha kwanza, uhakika wa ushindi ni 💯%.

Ila kama atatuletea yale mawenge yake ya kuwaanzisha akina Kibabage, ndiyo mbumbumbu Fc watapata ahueni ya mchezo.
 
Natembea na wewe hapo kwenye over confidence
 
Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC ✍️.

Kila mchezo unaohusisha timu mbili ndani ya uwanja kuna anayeingia kama favorite (anayepewa nafasi kubwa ya kushinda) na kuna underdog (anayepewa nafasi ndogo ya kushinda).

Sasa ipo hivi, kutokana na muendelezo wa Young Africans kwenye michezo yote ya msimu huu yote ni story, ila kikubwa ni ile head to head ya Simba Vs Yanga (michezo iliyowakutanisha wenyewe kwa wenyewe).

Mchezo uliopita Yanga tuliibuka na ushindi wa Magoli Matano kwa moja dhidi ya Simba, sio magoli tu, kiwango cha mchezo hasa kwa wachezaji wa Yanga kilikuwa juu sana, hakuna aliyekuwa na rating ya chini ya 7.4 hii ina maana kwamba wachezaji wote wamefanya kila kitu uwanjani kwa wastani wa zaidi ya asilimia 70 kila mmoja.

Jambo la kwanza:
1. Yanga isipoheshimu mpinzani wake kutokana na hali anayopitia kwa sasa anapopata ugumu wa kupata matokeo, ukweli ni kwamba Simba hawachezi vibaya ila kwenye eneo la finishing ndo wameshindwa kuwa clinical.

Jambo la pili:
2. Yanga ikibadilisha mfumo wake, siku zote faida ya timu kuwa na mfumo ni kuipa timu balance na Chemistry (uzani na muunganiko) hivyo basi mfumo ukibadilika muunganiko utapotea na tutaadhibiwa.

Jambo la tatu:
3. Non-stop Attacking:
Namaanisha kuingia kwenye mchezo wachezaji wote wakiwa Attacking minded, yani wote wanawaza kushambulia tu, wote wanapanda tu, hii itaacha mianya mingi na tutafungwa kirahisi kwa counter attack.

Jambo la nne:
4. Over confidence (kujiamini kupitiliza)
Mechi tuliyowafunga Simba goli tano walijiamini kupitiliza na tukawaadhibu vibaya mno sasa wanasemaga "Karma is Real" tukifanya kama walivyofanya wao basi litatupata jambo.

Jambo la tano:
5. Yanga isipojituma itatucost, dunia nzima hata kama timu ni bora vipi kama haitajituma basi kupoteza itakuwa rahisi sana, tusahau yale matokeo yaliyopita wachezaji waipambanie nembo ya Club, mbali na hapo yatatokea kama Ya Yanga na Azam, walijituma mwishowe wakapata matokeo kupitia sisi ✍️

All in all kocha wetu ni mzoefu, naamini anayaelewa haya yote, naamini amejipanga kuja na falsafa na mipango mizuri ya kumchakaza mtani kwakuwa uwezo tunao.

Kingine, wameamua kuachana na mpira wameamua kuwa waongeaji sana tuachane nao hawa SIMBILIZI tar 20 is loading 🔥

Here we go Young Africans 🔰👊🏽
Technical bench linajua watabadilika kuyokana na moinzani
 
Simba ya Ahmed Ali inaweza kua bingwa wa dunia ila Simba ya Benchickah haiwezi hata kutoa draw na Kiluvya utd
 
Tulipiga pira kama lile la bondeni kwa Madiba tuna win hii game,pia tusiende na matokeo yalipita ya yale magoli matano, tuyaache uko AVIC TOWN
 
Kwahyo utopolo mnaamini mnamfunga simba mara mbili???hahahahahahahahah hamko siriazi nyie
 
Back
Top Bottom