Mambo yote unayotakiwa kufahamu katika Aquaponic.

Zero_and_One

Member
Joined
Jun 4, 2019
Posts
43
Reaction score
92
Nimekuwa nikikifuatilia kilimo cha Aquaponic kwa muda mrefu sasa .Naomba niwape elimu hii bure kabisa na vitu vyote nilivyoweza kupata katika kilimo hichi cha Aquaponic.Na imani kinaweza kuwa mkombozi katika taifa na tukaweza kujikomboa katika wimbi la umaskini.

Aquaponic ni nini?
Aquaponic ni kilimo ambacho kinatumika kukuza mazao na samaki kwa pamoja.

Sehemu gani naweza kufanya kilimo cha Aquaponic?
Sehemu yoyote ile unaweza kufanya kilimo cha Aquaponic, kinachohitajika ni space ya kutosha .Hata ndani ya nyumba unaweza kufanya Aquaponic.

Vitu gani naweza kupanda katika kilimo cha Aquapoic?
unaweza kupanda
->Carrot
-.>Nyanya
->Mboga zote za majani e.g. Mchicha,Chainizi n.k.
->Kitunguu
->Maharage n.k

vitu vipo vingi saana unavyoweza kupanda na vikakua vizuri katika Aquaponic
Aquaponic3.png

Je nahitaji Ardhi kiasi gani ili niweze kufanya Aquaponic na kufaidika nacho?
Katika Aquaponic hautakiwi kuwa na ardhi yoyote ile ili uweze kufanya Aquaponic.Na katika hiyo picha hapo huu hamna Soil hata kidogo ambayo imewekwa.

Kuna faida (Advantages) zipi zinazopatikana katika Aquaponic?
Faida ni nyingi saana unaweza kupata katika Aquaoponic:
(i)Huhitaji kutumia Mbolea yoyote ile katika Aquaponic.
-Hamna chemicals yoyote inayotumika unless kama pH level itashuka katika system .No chemicals applied

(ii)Hii naona ndo kubwa kwa upande wangu.Aquaponic hautakuwi kuwa na maji mengi .Ni water recycle .Ni kwamba maji unayoanza nayo ndo hayo hayo .Unapanda unavuna,unapanda tena unavuna process inaendelea lakini maji ni hayo hayo.
So unaweza kufanya mkoa wowote na eneo lolote lile .

(iii)Unapata mazoa mengi sana katika eneo dogo .

(iv)Kupata samaki .Hapa nitakuja kuapaelezea vizuri .

Vitu gani unavyohitaji ili ufanye Aquaponics?
Kuna vitu vitatu vikubwa unavyotakiwa ili kuweze kufanya Aqaoponic
(1)Tank.
(2)Bio and Solid filter
(3)Na containers za kutunzia mazao yako .

Sasa kilimo cha Aquaponic inafanyaje kazi?
Kwanza kabisa unakuwa na samaki ,haya unakuwa unawapa chakula then wanakunya(pee and poop).Kinyesi kinachopatikana katika samaki huwa na nutrients ambazo zinahitajika na mmea kuweza kukua.Kinyesi hucontain Nitrogen lakini katika form of Ammonia lakini pia huwa na nutrients kama phosphorus and potassium.Na tunajua ili mmea uweze kukua unahitaji NPK kwa wingi.

Maji pamoja na nutrients yanaenda katika mmea.Mmea unachukua nutrients then maji hanayotoka katika mmea yakiwa masafi .Maji hurudi tena kwa samaki ,samaki wana pee na kupoop then maji yanaenda tena katika mmea yakiwa na nutrients the process inakuwa inajirudia.

aquaponic2.png

Samaki gani naweza kuwatumia katika Aquaponic?
Samaki yoyote unaweza kumtumia katika Aquaponic

Aquaponic4.png

ITAENDELEA:
 
Attachments

  • aquaponic2.png
    aquaponic2.png
    78.5 KB · Views: 28
Mkuu nimekuwa nikifuatilia hii kitu sababu nina samaki nyumbani tafadhali ninatamani kuwa nayo! Kwa ajili ya mboga za matumizi ya nyumbani tu!
Je inahitaji kuwa na umeme muda wote kama utakatika masaa 12 inaweza dhuru!
Je nikihitaji unisaidia muongozo jinsi ya kuunda dogo tu maana kwangu eneo sio kubwa gharama zitakuwaje nipo Dar Asnte!
 
Nimekuwa nikikifuatilia kilimo cha Aquaponic kwa muda mrefu sasa .Naomba niwape elimu hii bure kabisa na vitu vyote nilivyoweza kupata katika kilimo hichi cha Aquaponic.Na imani kinaweza kuwa mkombozi katika taifa na tukaweza kujikomboa katika wimbi la umaskini.

Aquaponic ni nini?
Aquaponic ni kilimo ambacho kinatumika kukuza mazao na samaki kwa pamoja.

Sehemu gani naweza kufanya kilimo cha Aquaponic?
Sehemu yoyote ile unaweza kufanya kilimo cha Aquaponic, kinachohitajika ni space ya kutosha .Hata ndani ya nyumba unaweza kufanya Aquaponic.

Vitu gani naweza kupanda katika kilimo cha Aquapoic?
unaweza kupanda
->Carrot
-.>Nyanya
->Mboga zote za majani e.g. Mchicha,Chainizi n.k.
->Kitunguu
->Maharage n.k

vitu vipo vingi saana unavyoweza kupanda na vikakua vizuri katika Aquaponic
View attachment 1157078

Je nahitaji Ardhi kiasi gani ili niweze kufanya Aquaponic na kufaidika nacho?
Katika Aquaponic hautakiwi kuwa na ardhi yoyote ile ili uweze kufanya Aquaponic.Na katika hiyo picha hapo huu hamna Soil hata kidogo ambayo imewekwa.

Kuna faida (Advantages) zipi zinazopatikana katika Aquaponic?
Faida ni nyingi saana unaweza kupata katika Aquaoponic:
(i)Huhitaji kutumia Mbolea yoyote ile katika Aquaponic.
-Hamna chemicals yoyote inayotumika unless kama pH level itashuka katika system .No chemicals applied

(ii)Hii naona ndo kubwa kwa upande wangu.Aquaponic hautakuwi kuwa na maji mengi .Ni water recycle .Ni kwamba maji unayoanza nayo ndo hayo hayo .Unapanda unavuna,unapanda tena unavuna process inaendelea lakini maji ni hayo hayo.
So unaweza kufanya mkoa wowote na eneo lolote lile .

(iii)Unapata mazoa mengi sana katika eneo dogo .

(iv)Kupata samaki .Hapa nitakuja kuapaelezea vizuri .

Vitu gani unavyohitaji ili ufanye Aquaponics?
Kuna vitu vitatu vikubwa unavyotakiwa ili kuweze kufanya Aqaoponic
(1)Tank.
(2)Bio and Solid filter
(3)Na containers za kutunzia mazao yako .

Sasa kilimo cha Aquaponic inafanyaje kazi?
Kwanza kabisa unakuwa na samaki ,haya unakuwa unawapa chakula then wanakunya(pee and poop).Kinyesi kinachopatikana katika samaki huwa na nutrients ambazo zinahitajika na mmea kuweza kukua.Kinyesi hucontain Nitrogen lakini katika form of Ammonia lakini pia huwa na nutrients kama phosphorus and potassium.Na tunajua ili mmea uweze kukua unahitaji NPK kwa wingi.

Maji pamoja na nutrients yanaenda katika mmea.Mmea unachukua nutrients then maji hanayotoka katika mmea yakiwa masafi .Maji hurudi tena kwa samaki ,samaki wana pee na kupoop then maji yanaenda tena katika mmea yakiwa na nutrients the process inakuwa inajirudia.

View attachment 1157093

Samaki gani naweza kuwatumia katika Aquaponic?
Samaki yoyote unaweza kumtumia katika Aquaponic

View attachment 1157095

ITAENDELEA:
naomba uendelee mkuu
 
Back
Top Bottom