Mambo!!

U send first !!coz sikukuona that time ulivo tuma then me ntatuma pia
Sasa kama hukuona si kosa lako mwenyewe au hujasoma sheria za jf sheria namba 7 kipengele cha 6(a)
 
No simjui ni nani huyo?
huyu jamaa ndio muhifadhi picha mkuu wa jf so ukiweka tu ya kwako anichukua anaweka kwenye archieves ya jf halafu ikifika siku ya birthday yako mwakan anaipost then watu wanakuwish
 
wewe unazijua server za jf zilipo hazitunz kwenye simu zinzwekwa kwenye server maalumu hukooo ulaya
Hahaaa ulaya ya bongo au??bas mwambie anitafute nimpe yangu na mim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…