Mambo!

Mambo!

Zion Daughter

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2009
Posts
8,921
Reaction score
4,240
Hi!
Iam looking forward to learn and contribute as well!

Stay Blessed all of you.
 
Kaizer naona kazi ya ugateman unaimudu vilivyo. Keep it up

Karibu sana ziondaughter mie ndio mama mwenye nyumba hii na baba ni naniliu. Fidel ni kijana wa kazi anatusaidia hapa kazi ndogo ndogo wakati Kaizer ni gate man.

Wengine kwa sasa wako shuleni wakirudi nitakujulisha!
 
Karibu sana, am sure you will learn alot in here.
 
Kaizer naona kazi ya ugateman unaimudu vilivyo. Keep it up

Karibu sana ziondaughter mie ndio mama mwenye nyumba hii na baba ni naniliu. Fidel ni kijana wa kazi anatusaidia hapa kazi ndogo ndogo wakati Kaizer ni gate man.

Wengine kwa sasa wako shuleni wakirudi nitakujulisha!

Thanks mummy! you derserve to be mama house.
 
Kaizer naona kazi ya ugateman unaimudu vilivyo. Keep it up

Karibu sana ziondaughter mie ndio mama mwenye nyumba hii na baba ni naniliu. Fidel ni kijana wa kazi anatusaidia hapa kazi ndogo ndogo wakati Kaizer ni gate man.

Wengine kwa sasa wako shuleni wakirudi nitakujulisha!

hahaaaa haaa duh, nimeipenda sana.
anyway mkuu/bibie karibu sana, mi ndio 'serengeti boy' orijino, ukisikia mwingine huyo fotokopi. teh tehhh teeeh
icon10.gif
 
Kaizer naona kazi ya ugateman unaimudu vilivyo. Keep it up

Karibu sana ziondaughter mie ndio mama mwenye nyumba hii na baba ni naniliu. Fidel ni kijana wa kazi anatusaidia hapa kazi ndogo ndogo wakati Kaizer ni gate man.

Wengine kwa sasa wako shuleni wakirudi nitakujulisha!

hii nami nimeipenda.safi sana shemeji
 
hii nami nimeipenda.safi sana shemeji
Mmmmh, watu humu wakishajua gender yako kuwa ni mBeijing, huwa wanaanza taratibu kukuita shemeji, kumbe wanataka tu wajue kama huyo 'kaka yao' yupo kweli au bado upo upo kwanza !!
 
You are welcome! I changed a lot since I came in here!

JF is just more than online forum!
 
Hi Ramthods!
Thank you.
Iam feeling Happy too for this Forum.It is like attending a certain class but for free.
Cheers!
 
Kaizer naona kazi ya ugateman unaimudu vilivyo. Keep it up

Karibu sana ziondaughter mie ndio mama mwenye nyumba hii na baba ni naniliu. Fidel ni kijana wa kazi anatusaidia hapa kazi ndogo ndogo wakati Kaizer ni gate man.

Wengine kwa sasa wako shuleni wakirudi nitakujulisha!

Du! naona nimeshathibitishiwa mkataba! LOL
 
Kaizer naona kazi ya ugateman unaimudu vilivyo. Keep it up

Karibu sana ziondaughter mie ndio mama mwenye nyumba hii na baba ni naniliu. Fidel ni kijana wa kazi anatusaidia hapa kazi ndogo ndogo wakati Kaizer ni gate man.

Wengine kwa sasa wako shuleni wakirudi nitakujulisha!

Na huwa huyo NANILIU anasafiri sana, hivyo akina Fidel na Kaizer

wananilinda bila shida yoyote!

hhhahahha Caroline umenifurahisha sana

Haya Ziondaughter Caro ndo first born wa mwisho hapa nyumbani lol. Umheshimu hivyo!
 
Last edited:
Back
Top Bottom