ndugu zangu wadau mlosoma mambwe secondary nawatafta tujadiriane hapa kwani chule yenu imebadilika sana na mabadiliko yenyewe ni hasi kwa maana wanafunzi wa shule yetu kwa sasa hawatambui umuhimu wa elimu . matokeo yao yanaendelea kushuka kila mwaka na mbaya zaid wengi wanaambulia zero. tutamuenzije mgogo,silinu,zumba,kips,matondwa,ngao,nk?